Umuhimu wa kuvaa mlegezo

Mie mwanamke nikivaa hivyo nakuwa nawatega mabwana wanitongoze sasa hawa wanaume wao wakivaa hivyo sijui ndo wanakuwa wanataka nini labda. Halafu siku hizi ndo ishakuwa fashion mjini hapa hasa wanaume wa dar
 
Mwingine anaweka mlegezo wakati suruali tayar njiwa basi weeeee ...kichekesho cha haja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mie mwanamke nikivaa hivyo nakuwa nawatega mabwana wanitongoze sasa hawa wanaume wao wakivaa hivyo sijui ndo wanakuwa wanataka nini labda. Halafu siku hizi ndo ishakuwa fashion mjini hapa hasa wanaume wa dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

WAMBEKE.

njoo uone wanaume wa dar huku.
 
Mhhhh!!sawa tumekusikia!

Ila inakuaje unavaa nguo hadi chupi inaonekana!

Mmmhhh!
 
Mhhhh!!sawa tumekusikia!

Ila inakuaje unavaa nguo hadi chupi inaonekana!

Mmmhhh!
Sijawahi!

Huwa nawaona mtaani tu.

Kwani tatizo ni kuvaa mlegezo mpaka chupi inaonekana au hata kwa wale ambao wanavaa mlegezo halafu boxer haionekani?
 
Kwa hili wimbi la 'ushoga' nashawishika kusema uvaaji wa namna hii inaweza kuwa tangazo la biashara.

Keyword: *inaweza
Sidhani kama ni kweli kwa sababu huwa ninaona vijana wengi wanaovaa milegezo ni wahuni na wapenda mademu sana.Kwa kawaida mashog wengi huwa hawapendi kuwa na muonekano wa kihuni bali hupenda kujipamba ili waonekane warembo.Vigumu sana kumkuta chko kavaa kata Kiki labda vipapaa.
 
Hao wanaovaa milegezo nawaona kwenye TV na nikienda dar, huku mikoani mmmh mmmh hakunaga.
Wanaume wa dar, kuna shida gani huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…