Umuhimu wa kuvaa mlegezo

Umuhimu wa kuvaa mlegezo

Nina muda nae basi ni yeye tu kujipendekeza na kuingia anga zangu.Ila nahisi huyu hamnazo so nachukulia kama nimekutana na chizi so anaweza ongea chochote
Ha...!!! Nitakuja kuchumbia Rock City aseee kumbe kuna watoto wastaarabu sana.
 
Halafu unakuta ni degree holder.......hahaaaaa natania
ha ha ha..mkuu kat ya vitu ambavyo nimeshindwa kufanya ni kuvaa nusu mlingoti...nakumbuka o-level walinipa jina la baba paroko kwa sababu ya uvaaji wangu
 
ha ha ha..mkuu kat ya vitu ambavyo nimeshindwa kufanya ni kuvaa nusu mlingoti...nakumbuka o-level walinipa jina la baba paroko kwa sababu ya uvaaji wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba paroko
 
Ni ujinga tu, kuiga kila wakionacho. Hawana tofauti na wavaa vimini, kila akipiga hatua lazima akivute chini kuficha uchi wake. Ni upumbavu tu!!!
 
daah ki ukwel stage hyo ya maisha ilipofika ilikua mbali na maisha yangu maana nawaza ningekua najiona mjinga kias gan sa hv kwa kuvaa hvyo
 
Ngaja niwahi kwa mkuu wa mkoa aitolee amri hii tabia ya vijana
 
Hongereni kwa kuwakanya na kuwakandia hawa watoto wetu wanaojiita masharobaro.

Kuna umri ukifika inabidi ujiheshimu yani uache kabisa mambo ya foolish age. Uanze kuvaa nguo za heshima zinazofunika mwili wako vizuri n.k.

Ila kabla ya kutoa kibanzi kwa mwenzako hakikisha kilicho jichoni mwako umekitoa.

Kumbukeni kuna wadada/wamama pia wanavaa nguo za kutia aibu akikaa unakuta pichu unaiona kwa mbali na mapaja waziwazi mpaka kutia kinyaa je ile nayo ni biashara?
 
Back
Top Bottom