Mi nitakuwepo ila sitafungua mlangoVipi tunaokwepa makusudi hiyo siku asubuhi tu hawakuti mtu.
Mi naona hayo mapumziko hayata saidia.
Acha taarifa zako nyumbani
Hii nchi wafanyabiashara ndipo wengi, je nao wafunge Biashara Siku ya Sensa?
Hili zoezi litachukua zaidi ya Siku moja bwashee, labda wafanye week end na Jumatatu owe mapumzikoHapa nnapoishi kuna apartments tunaishi wapangaji tu bila ya mwenye nyumba, ikifika asubuhi wote tunaenda maofisini kiongozi hizo taarifa unamuachia nani ilhali hakuna anayebaki hapo nyumbani mkuu...?
Kulikoni mkuu kila mtu kususia kuhesabiwa ? [emoji3]Mi nipo mwenyewe ila nitakausha Siku hiyo watagonga mlango hadi wachoke
Hili zoezi litachukua zaidi ya Siku moja bwashee, labda wafanye week end na Jumatatu owe mapumziko
Ukorofi tu hatuna sababu hataKulikoni mkuu kila mtu kususia kuhesabiwa ? [emoji3]
Swali la Kwanza ukifungua malangoMi nitakuwepo ila sitafungua mlango
π π πSwali la Kwanza ukifungua malango
1. Umeolewa?
Nyie vitoto vya kidato cha nne mnasumbua sana mkila mkashiba ugali shikamoo,kwani sends ndiyo imeanzishwa sasa?Nimefikiri mara mbilimbili kuhusu sensa ya watu na makazi. Nimegundua Ili kupata takwimu sahihi kabisa Kuna umuhimu wa kuruhusu siku hiyo iwe ya mapumziko.
Itasaidia kupata takwimu sahihi lakini pia wahusika wakubwa wa hizo familia watakiwepo nyumbani na hivyo kutoa taarifa sahihi.
Hayo ni maoni yangu.
π π π sawa kaka, kwakuwa umesema hivyo nitawafungulia mlangoUzi wako kwa namna fulani una uelekeo wa UVIVU tu,,,ni kama Wanafunzi siku asipoingia Mwl wa hisabati.
Hii nchi Wafanyabiashara ni wengi sana,,,Private sector ndio inaendesha hii Nchi,,,kuna huduma muhimu sana tunahitaji tuzipate kwenye ofisi za umma...
Vilevile ikiwa mapumziko sio guarantee ya watu kubaki majumbani...
Muhimu Toa ushirikiano unaotakiwa ikifika hio siku,,,, Na wewe Demi pia hakikisha umeacha mlango wazi alfajiri sana....Usikwamishe Juhudi