bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Niambie basi hiyo tofauti maana ndo nina shauku nayo...Because men and women are wired differently.
Nimesoma pg ya nyuma mwenzio Anhauser kasema anaenda kumtafuta aliyemzidi kipato...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie basi hiyo tofauti maana ndo nina shauku nayo...Because men and women are wired differently.
Kuchakarika bana ndo mpango mzima kwa mwanamke na mwanamme...
Nani anataka mwenza mvivu asiyepigania maisha? Lakini hamjanishawishi kwa kusema pesa ndo msingi....yapo mengi ya msingi kwenye mahusiano.
Wewe upo tayari kuishi na mume milionea amabye hakuheshimu?
Mambo Badili? Nakuunga mkono,kichwa,miguu na niniliyuuuu.........piga ua galagaza ..... Pesa ni muhimu...
Mwanamke anahitaji kuwa na uhakika wa kesho...kwamba atakula, watoto watasoma nk
huitaji kuwa tajiri..... Unahitaji kuwa na pesa ya kuyimiza mahitaji. Na hupendeza zaidi mwanaume akiwa na kipato kumzidi mwanamke........
Unafikiri bila pesa, njaa tumboni hapo hata mapenzi yananoga?
Baada ya makuzi mema yanayopingana na mfumo dume sasa ni wakati wa kuuangalia upande wa pili wa shilingi. Kwanza kabisa tafsiri ya neno patriarchy ambalo wanaharakati wa jinsia wanadai ni mfumo dume sio sahihi. Tafsiri yake halisi ni ubaba. Hii ni hali ya uongozi ama utawala uliojikita katika baba akisaidiwa ama kusaidiana na mama.
Wanaokubaliana na patriarchy inayotafsiriwa kama ubaba wanaamini kazi kubwa ya ubaba ni 'p' tatu yaani protecting (kulinda), providing (kutoa) na preside (kuongoza) japo wapo wanaodai p ya tatu ni profess (kuaminisha). Kama tulivyoona kwenye mjadala wa maamuzi, mapenzi hayawezi kwenda bila ubaba huu wa kuongoza, kulinda na kutoa.
Pamoja na kupinga ukatili wa mfumo dume ukweli ndio huo, ili mapenzi yafanikiwe lazima ubaba uongoze. Na tunapoongelea kutoa tunaongelea pesa - bila fedha penzi linakuwa mahututi na mwisho wake ni kufa tu. Pesa posa.
Na mwanaume hahitaji?
Mambo Badili? Nakuunga mkono,kichwa,miguu na niniliyuuuu.........
kwa hiyo tuseme ili kukidhi haja ya mfumo dume lazima mwanume awe na kipato zaidi ya mke wake?
Niambie basi hiyo tofauti maana ndo nina shauku nayo...
Nimesoma pg ya nyuma mwenzio Anhauser kasema anaenda kumtafuta aliyemzidi kipato...
Gaijin toka lini umeanza kuona maisha katika mwanga bora? unakumbuka post yako kwenye thread ya kuchagua jf woman/man of the year?Mfumodume oyeee 🙂
Enzi za babu zako ardhi,ng'ombe,mbuzi etc ndo vilikuwa msingi wa mapenzi for a simple reason kwamba in those yesteryears those items were the currency of the day.No money no love bana asikudanganye mtu,binadamu haishi kwa longolongo bana anaishi kwa mkate (and of course pia kwa a good action in the sack!).
Kwa nini lakini? Kwa nini unataka akuzidi?Mimi staki usawa hapo, ni mfumo dume ufanye kazi mwanzo mwisho.
Mimi nachakarika lakini na yeye achakarike tena zaidi yangu
Kipato chake kikiwa kikubwa zaidi yangu ninafurahi sana 😀
Kwa nini lakini? Kwa nini unataka akuzidi?
Ili u,bebebshe majukumu ya familia yeye peke yake?
Unfortunately this is true my dear.
Niambie basi hiyo tofauti maana ndo nina shauku nayo...
Nimesoma pg ya nyuma mwenzio Anhauser kasema anaenda kumtafuta aliyemzidi kipato...
hapo kwenye niniliyuuuuuu hapo ndo pazuri tehteh
Hehehee why is it unfortunate? It should be fortunate, dont you think so?
Coz it will boost his ego and that is very important for our relationship
Got you Ngabu....its crystal clear now!Jiulize kwa nini mwanaume akidundwa na mwanamke inakuwa fedheha zaidi kuliko akidundwa na mwanaume mwenzake?
Kuna kitu kinaitwa 'male ego'. Hiki kitu kipo na kama wewe sio mwanaume basi unaweza usielewe kabisa lakini sisi wanaume ndiyo tumeumbwa hivyo. We are conquerors, providers, protectors, etc.
Katika setting za kimahusiano na kifamilia kama tukiweza kutimiza yote hayo ambayo tunaona tunatakiwa kuyatimiza basi na roho zetu zinaridhika na tunakuwa na amani.
Sasa kama mkeo ndiyo anavuta mkwanja mkubwa zaidi maana yake ni kwamba hata mchango wake kwenye mahusiano yenu utakuwa mkubwa kumzidi mwanaume na hiyo hali si nzuri kabisa kwa mtazamo wa kiume.
Mbaya zaidi watu wa nje wakijua kuwa mwanamke ndiyo mwenye mkwanja basi maneno hayataisha. Kubali, kataa hii hali kwa mwanaume si nzuri kabisa. Hata upuuze vipi, mimi naamini itakusumbua tu.
Na mwanaume kama ego yake imejeruhiwa hiyo inaweza ikawa chanzo cha stress, depression, na mengine ambayo siwezi kuyaandika hapa!!
Got you Ngabu....its crystal clear now!