Like like like like like...Haya nigongee like.
Gaijin toka lini umeanza kuona maisha katika mwanga bora? unakumbuka post yako kwenye thread ya kuchagua jf woman/man of the year?
ngabu urudi hapa kidogo...got another qn to ask you and Gaijin na Companero pia...
Hivi mfumo dume ndo ubaba?
ngabu urudi hapa kidogo...got another qn to ask you and Gaijin na Companero pia...
Hivi mfumo dume ndo ubaba?
Kwangu mfumo dume nadhani ni 'male chauvinism'.
Ubaba siuchukulii kuwa ndiyo mfumo dume.
sawa, lakini mwisho wa siku sheria ya nchi ya mahusiano rasmi ya 1971, CAP 29 RE. 2002, inasema dume ndio linatakiwa litoe mshiko!
Mie siikubali...lolNielewavyo sio sawa.
Mfumo dume unaozungumziwa kikawaida ni ile unaomkandamiza au kumdharau mwanamke.
Kuwa hata mwanamke kama ana potential ya kufanya vyema najiongezea kipato, atapingwa kufanya hivyo
Hii definition ya Companero inakubalika katika ngazi ya familia na hata feminist wasiokuwa na msimamo mkali....😀
Mie siikubali...lol
Ubaba na mfumo dume hapana bana
I see...
Maana mie naona mfumo dume upo kiugandamizaji zaidi.
Ubaba sina tatizo nao, ila nilishtuka kuona vimewekwa kama kumaanisha concept moja
Haya nilishakuandikia like kibaooo...
Siku zote nilifikiri wewe ni wale wa msimamo mkali...Hii definition ya Companero inakubalika katika ngazi ya familia na hata feminist wasiokuwa na msimamo mkali....😀
Siku zote nilifikiri wewe ni wale wa msimamo mkali...
acha kubeba maboksi uone cha moto, hata kabula atakushangaa ukiwa pesaless
Mitazamo yako katika makala nyingi hapa jamvini ilinifanya nifikiri hivyo...Kitu gani kilichokufanya ufikirie mie ni wale wa msimamo mkali?
Mitazamo yako katika makala nyingi hapa jamvini ilinifanya nifikiri hivyo...
Male chauvinism ni ile imani ya kwamba wanaume wako superior kwa wanawake na ndiyo maana unaona kuna ukandamizaji.
Ubaba naufagilia asilimia 200.
NN, nachelea kuwa unamiss the fact kuwa kuwa provider na kuwa na pesa ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na pesa sana na usiwe provider and vice versa. Kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
Mfano tu mdogo among ur friends, kuna mtu kila wakati atakununulia a small gift, it is the thought that counts aisee. Huku kwetu kuna mwanaume kila akitoka kibaruani anakuwa na kirambo kina miguu ya kuku, utumbo wa kuku ama dagaa wa kukaanga. Huyo ni provider. Anaweza asiwe na hela ya kutosha kuacha home lakini walau anawaza wa nyumbani kwake.
Unapoanza nadharia za "tumeumbwa hivyo" unaenda mbali, utadaiwa vithibitisho vya kibailojia hapa. Usichanganye maswala ya mazoea, makuzi, tamaduni na conventional wisdoms za kijamii na sayansi, unless una scientific proof....Kuna kitu kinaitwa 'male ego'. Hiki kitu kipo na kama wewe sio mwanaume basi unaweza usielewe kabisa lakini sisi wanaume ndiyo tumeumbwa hivyo. We are conquerors, providers, protectors, etc.