Umuhimu wa Mfumo Dume (Ubaba)

Umuhimu wa Mfumo Dume (Ubaba)

Haya nigongee like.
Like like like like like...
Haya kalale sasa bana kesho boksi utadonoa shauri yako...

Kwenye umuhimu wa upendo wa dhati unaoongozwa na maadili memo hakuna mjadala kabisaa...
 
Gaijin toka lini umeanza kuona maisha katika mwanga bora? unakumbuka post yako kwenye thread ya kuchagua jf woman/man of the year?

What has that got to do with anything in this discussion right here?!
 
Big up mtoa mada!
Mfumo dume Ulikuwa ni leadership system, na tena umekaa since the beggining of the world, na mm nna kila nia ya kuuendeleza. Ila watu kuutafsiri vibaya, wanaume kuwatesa wake zao kumechangia sana mfumo wetu mzuri kushushwa thamani. KIngine jamani when a boy becomes a man anatakiwa atoke kwao akatafute namna ya kusimama yeye kama yeye na aandae mahali na mpango wa kuprotect, kuprovide and raise a family. Hii inaanza na kuoa-tena huyo binti umhakikishie wewe unaweza kuwa na family kwa kila hali. Sio unabaki kupiga kelele mapenzi si pesa(shida hapa si mapenzi kwa sababu hata we usipokuwa na pesa familia na majirani wanakuona we mvulana tu!)
 
ngabu urudi hapa kidogo...got another qn to ask you and Gaijin na Companero pia...

Hivi mfumo dume ndo ubaba?
 
ngabu urudi hapa kidogo...got another qn to ask you and Gaijin na Companero pia...

Hivi mfumo dume ndo ubaba?

Kwangu mfumo dume nadhani ni 'male chauvinism'.

Ubaba siuchukulii kuwa ndiyo mfumo dume.
 
ngabu urudi hapa kidogo...got another qn to ask you and Gaijin na Companero pia...

Hivi mfumo dume ndo ubaba?

Nielewavyo sio sawa.

Mfumo dume unaozungumziwa kikawaida ni ile unaomkandamiza au kumdharau mwanamke.

Kuwa hata mwanamke kama ana potential ya kufanya vyema najiongezea kipato, atapingwa kufanya hivyo

Hii definition ya Companero inakubalika katika ngazi ya familia na hata feminist wasiokuwa na msimamo mkali....😀
 
Kwangu mfumo dume nadhani ni 'male chauvinism'.

Ubaba siuchukulii kuwa ndiyo mfumo dume.

I see...
Maana mie naona mfumo dume upo kiugandamizaji zaidi.

Ubaba sina tatizo nao, ila nilishtuka kuona vimewekwa kama kumaanisha concept moja
Haya nilishakuandikia like kibaooo...
 
Hili wazo la Companero si wazo jipya, Sheria ya nchi inalitambua hili na miongozo ya dini mbali mbali pia inaeleza hilo

"Mwanamme ndio kichwa cha familia" au "Mwanamme ndio kiongozi wa familia"

sawa, lakini mwisho wa siku sheria ya nchi ya mahusiano rasmi ya 1971, CAP 29 RE. 2002, inasema dume ndio linatakiwa litoe mshiko!

Sasa kama kichwa cha familia kitaweza kuwa kichwa licha ya kipato kidogo kuliko shingo ......ipo wazi kwa majadiliano
 
Nielewavyo sio sawa.

Mfumo dume unaozungumziwa kikawaida ni ile unaomkandamiza au kumdharau mwanamke.

Kuwa hata mwanamke kama ana potential ya kufanya vyema najiongezea kipato, atapingwa kufanya hivyo

Hii definition ya Companero inakubalika katika ngazi ya familia na hata feminist wasiokuwa na msimamo mkali....😀
Mie siikubali...lol
Ubaba na mfumo dume hapana bana
 
Mie siikubali...lol
Ubaba na mfumo dume hapana bana

Wewe unamsimamo mkali kiasi cha kupingana na sheria za nchi na miongozo ya kidini ....hahhahah

Mimi mfumo dume unaofanya kazi kwa faida yangu naupenda sana kwa sababu ukiuangalia kwa undani zaidi ni mfumo jike 😀
 
I see...
Maana mie naona mfumo dume upo kiugandamizaji zaidi.

Ubaba sina tatizo nao, ila nilishtuka kuona vimewekwa kama kumaanisha concept moja
Haya nilishakuandikia like kibaooo...

Male chauvinism ni ile imani ya kwamba wanaume wako superior kwa wanawake na ndiyo maana unaona kuna ukandamizaji.

Ubaba naufagilia asilimia 200.
 
Sina hakika kama pesa ni kila kitu..
Kunaweza kuwa na pesa lakini hakuna penzi hili ni balaa kubwa
 
Hii definition ya Companero inakubalika katika ngazi ya familia na hata feminist wasiokuwa na msimamo mkali....😀
Siku zote nilifikiri wewe ni wale wa msimamo mkali...
 
Mitazamo yako katika makala nyingi hapa jamvini ilinifanya nifikiri hivyo...

Mmmh sikujua kuwa ninaonekana hivyo......

Mimi mfumo dume ulioelekea kwenye mfumo jike ninaupenda sana 😀
 
Male chauvinism ni ile imani ya kwamba wanaume wako superior kwa wanawake na ndiyo maana unaona kuna ukandamizaji.

Ubaba naufagilia asilimia 200.

Ooh yeah, ubaba ndo mpango mzima bana...

Mie mwenyewe najiskia fahari msukuma akitumia ubaba wake kwa kweli...
Kuna mambo tu kwa kweli ntaacha mwanaume awe mwanume hili la 'ubaba' ni mojawapo...
 
NN, nachelea kuwa unamiss the fact kuwa kuwa provider na kuwa na pesa ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na pesa sana na usiwe provider and vice versa. Kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
Mfano tu mdogo among ur friends, kuna mtu kila wakati atakununulia a small gift, it is the thought that counts aisee. Huku kwetu kuna mwanaume kila akitoka kibaruani anakuwa na kirambo kina miguu ya kuku, utumbo wa kuku ama dagaa wa kukaanga. Huyo ni provider. Anaweza asiwe na hela ya kutosha kuacha home lakini walau anawaza wa nyumbani kwake.

mwaaaah..

lakini kuna hii ya wanawake kuangalia ratio'provided per earned'
hata kama pesa inatosha kujikimu bado ata'compare na kile anachopata mwanaume
 
...Kuna kitu kinaitwa 'male ego'. Hiki kitu kipo na kama wewe sio mwanaume basi unaweza usielewe kabisa lakini sisi wanaume ndiyo tumeumbwa hivyo. We are conquerors, providers, protectors, etc.
Unapoanza nadharia za "tumeumbwa hivyo" unaenda mbali, utadaiwa vithibitisho vya kibailojia hapa. Usichanganye maswala ya mazoea, makuzi, tamaduni na conventional wisdoms za kijamii na sayansi, unless una scientific proof.
 
Back
Top Bottom