Kiini cha matatizo yote ni uongozi.Hivi vitu vingine ni kukosa focus tu.Umbumbumbu ndio upo hapo.Unahisi hisi tu na kuongeza ujuaji kisha unadhani upo sahihiHakuna kiongozi anayecheza uwanjani.
Mifumo ya Simba na Yanga ni ya kisiasa HAIELEWEKI na sisi tunaikalia kimya.
Tunazungumzia uongozi wa uwanjani na kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ambako ndiko ushindi unapopatikana.
Kepteni ni muhimu sana kwenye timu wakati kama huu.
Mnyiha wa Mbozi hakuna kumkumbuka Bocco kama mchezaji Lakini alipokuwa Kepteni uongozi wake ulionekana.
Unajua kuwa baada ya kocha mtu anayetakiwa kusikilizwa na kuheshimiwa ni Kepteni wa timu??
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app