SoC01 Umuhimu wa utawala bora katika nchi za Afrika

SoC01 Umuhimu wa utawala bora katika nchi za Afrika

Stories of Change - 2021 Competition

Maxmillian Samike

New Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Niende moja kwa Moja kuelezea utawala Bora Ni Ni kitu gani.

Utawala Bora Ni ile Hali ya serikali,shirika au taasisi kuongoza Kwa kufuata misingi ya Haki,uwazi na uwajibikaji .

Katika nchi nyingi za jangwa la Sahara,utawala Bora imekuwa Ni kitu adimu Sana kwani nchi takribani zote zinaongoza pasipo kufuata misingi na kanuni za utawala Bora,hivyo kupelekea rushwa na ukiukwaji wa Haki za binadamu pamoja na democrasia.

Hivyo Basi ili nchi za Africa ziweze kujiendesha kwa mafanikio Ni lazima zitawale kea kufuata kanuni za utawala Bora.

Ziwajibike kwa wananchi wake,ziwe wazi kwa umma,zitoe Uhuru wa kutoa mawazo kukosoa.

Kufanya hivyo kutaboresha amani na kuleta umoja wa kitaifa.

Mfano,nchi Kama Uganda imeonyesha wazi kabisa haizingatii kanuni tajwa hapo juu,na kusababisha maisha kuwa magumu,na nchi Hizo mara nyingi zinatumia core instrument of the state,like military, polisi ku oppress watu wake.
Hii hutokea pale wananchi wanapojaribu kuhoji Namna ya uendeshaji wa serikali.

Basi ili tupige hatua ya kimaendeleo hatuna budi kufuata na kuishi misingi ya utawala Bora,ambao utaleta matunda ya Uhuru,ujenzi wa miundo mbinu mingi.
Pasipo kuwa na shinikizo lolote.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom