Umuhimu wa vijana kuwa na uzalendo na kufundishwa uzalendo wanapojiunga na majeshi ya ulinzi na usalama

Nchi yake?

Una maanisha nchi yake au serikali yake?

Kuna tofauti kati ya nchi yake na serikali yake

Na africa,nchi na serikali ni kitu kimoja....

Therefore,ni upumbavu wa ajabu na hatari kubwa sana kua na "uzalendo" kwa hizi nchi zetu....

Nchi lazima itoe mazingira mazuri kwa mwananchi ili mwananchi aipende back at the same rate.....unfortunately,in our countries,this can not be done!

Uzalendo umeleta shida kubwa duniani,wanasiasa wanaitumia hii pale mambo yao yanapokua mabaya,then uzalendo unatumika kuua,na kusababisha maovu makubwa duniani

Uzalendo ni so dangerous just like religion....and both have caused biggest disasters in the world.....uzalendo ni very very stupid concept to human beings!
It seems like you misunderstood the concept of uzalendo.
Kwanza fahamu unapo ongelea uzalendo unaongelea mapenzi kwa nchi na sio serikali. But tunaihusisha serikali kwa kuwa serikali imepewa jukumu la kiutendaji kwenye nchi hivyo viongozi wa serikali wanaweza wasiwe wazalendo kwa hoja ya kuwa hawana mapenzi kwa nchi.
 
Infact wewe ndio umemiss understood kabisa...

Mahali ambapo nchi ipo mistaken na SERIKALI then uzalendo ni useless!

Ukiipenda nchi kwa uzalendo wa dhati SERIKALI inasema huo si uzalendo unatakiwa uuawe!

Then what the fvck are you telling me here?

SERIKALI zinatumia neno uzalendo kutulazimisha tuzipende kwa lazima hizo SERIKALI na sio kuipenda nchi,maana nchi ni wananchi sio serikali...ukiwapenda wananchi kwa dhati then wewe ni against serikali,hivyo ni lazima wakuue....what the fvck this then?
 
Ndio maana nikasema wanaoendesha serikali wanatakiwa kuwa wazalendo, Unachokiongelea wewe ni matokeo ya serikali kukosa uzalendo. Serikali ikikosa uzalendo ndio tegemea matukio ya watu kuuliwa hovyo, Rushwa kukithiri, Usaliti kwa nchi, ubadhirifu wa mali za umma, Matumizi mabaya ya mamlaka n.k Sasa hali hii ikiendelea na ikakithiri kwenye majeshi yetu hatari inakuwa kubwa zaidi, Kwani majeshi yetu tunayategemea kwenye ulinzi na usalama wa taifa hili.
Nitaainisha sifa za mtu mzalendo kwa uchache ili niweke sawa hoja yangu.
Mzalendo ni yule ambaye ana mapenzi ya kweli kwa nchi yake, Analipa kodi, analinda na kuwa support watu wote wenye mapenzi kwa nchi hata kama ni wa dini ,chama na kabila tofauti na yeye. Lakini pia mzalendo anawapinga na kuchukia wote ambao hawana mapenzi na nchi hata kama ni wa dini, chama na kabila la kwake, Mzalendo anapinga ubadhirifu wa mali za umma, rushwa na uvunjwaji wa haki , Mzalendo anaitangaza na kuyasemea mazuri ya nchi yake akiwa ndani ya nchi na nje ya nchi n.k
Hizo ni baadhi ya sifa za mzalendo hivyo basi kulingana na sifa tajwa hapo utagundua ya kuwa uzalendo ni zaidi ya kufia nchi yako, Uzalendo unabaki kuwa msingi wa utawala bora na msingi wa maendeleo.
Tatizo linakuja, Je kati ya raia wa kawaida na viongozi wa serikali nani anapaswa kuwa mzalendo zaidi kwa nchi yake?..
Kimsingi kila mtu anapaswa kuwa mzalendo ila viongozi wa serikali wanategemewa kuwa wazalendo zaidi kwani ndio tuliowapa jukumu la kuendesha na kuisimamia nchi, Ajabu ni kwamba viongozi wamekuwa sio wazalendo na raia wa kawaida ndio wazalendo. Lakini pia bado serikali inawahujumu na kuwaua hao wazalendo nadhani hapa ndipo hoja yako ilipojikita.
Ndio maana katika uzi huu nikashauri hao viongozi wachache wenye chembe za uzalendo wanatakiwa ku take immediately action to rescue this situation otherwise our country will remain being poor led with corrupted leader.. which result to corrupted system.
Mwisho niseme kwamba, Kuwa mzalendo nikuangalia wewe umeifanyia nini nchi yako na sio nchi yako imekufanyia nini wewe, Ukiangalia nchi imekufanyia nini wewe utaishia kuilaumu serikali of which is not bad thing but doing so means ..you are lost a characters of patriotism.
Hivyo basi, Concept ya uzalendo itabaki kuwa na umuhimu regardless the audience understood or not.
 
Mkuu

Serikali haijawahi kua zalendo,ususani Africa!

Serikali kimfumo is a machinery of oppression.....

It doesnt matter anaiongoza hiyo serikali ni mwema kiasi gani,kimfumo serikali ni mashine ya oppression!

Serikali ndio zinazoongoza kuvunja sheria za nchi yenyewe kuliko wananchi

Serikali ndio inaongoza kuleta migogoro kwenye jamii

Serikali ndio inayoongoza kuua raia wake kuliko wananchi kuuana wao kwa wao.

Kuitendea mema serikali ni kupoteza muda na resources tu,ni heri huo wema uwatendee wananchi directly bila kuihusisha serikali kwa lolote..

Uzalendo ni mimi kumtendea mwananchi mwenzangu mema na kumsaidia against the government oppression and not otherwise!

Kuliko uipende serikali ni heri umpende jirani yako maana anaweza kukuazima chumvi sio serikali kabisa!
 
Back
Top Bottom