Umuhimu wa wosia

Umuhimu wa wosia

Kila mtu ajitafutie mali zake , ndo mana wenzetu urithi wanaachie mtu yeyote, mtoto akue akijua anatakiwa kufanya juhudi ya maisha afanikiwe, mzazi jukumu lake ni kumwandalia maisha kwa kumsomesha, akifika 18 and above anaanza ya kwake, sasa tatizo huwa tunatolea sana macho mali za familia, wengine wanadiriki hata kuwaua wazazi ili warithi mali, mrithishe ila usimwambie kahifadhi huko bank, ili awe na nguvu ya kutafuta, nakumbuka baba alikuwa anatwambia, mali zangu ni kwa ajili yangu na mke wangu, kama hamsomi mtajijua mkishakua

ni kweli kabisa wazazi wako hawakosei
 
Mimi si mwanasheria ila my mum alishampeleka baba mahakamani kwa hiyo najua sheria ya ndoa inasema nusu ya mali ni ya mke na nusu ni ya mume. Na watoto hawana chao once marriage inapo end, ni juu ya wazazi kama watapenda kuwapatia hao watoto chochote.

Sasa inakuwa vipi mume akifa afu akaandika mali zake zote kwa anaowapenda yeye na kuto mpa chochote wife au kumpa wife kiduuuchu. Je mahakama haiwezi kubatilisha will kama hiyo??? Taking into consideration kuwa mali ni yao wote kisheria?

what i know any will which having all the elements of validity is acceptable under the law and no one is above the law otherwise that will is contradicted with the mother law (constitution) ; will kama will inakuwa inaworkout pale mtu anapokufa kama hajafa bado inakuwa not valid , pia inatakiwa iwe kwenye maandish and not orally japokuwa kuna exceptinoal ,mashaidi lazima wawepo, msimamizi wa mirathi lazima atajwe , signature ya mwandika will, tarehee na majina ya wahusika wote na vile vile watu wana haki ya kuandika will kwa mtu yoyote kutokana na sababu binafsi za mwandika will but mahakama ina jinsi ya kuliangalia hili ni kitu kizuri na ni vizuri zaidi ukaomba ushauri au ukatumia wanasheria pindi unapoamua kuandika hiyo will
 
Wezetu wa mbele huko (wazungu)ni kitu cha muhimu sana lkn huku kwetu wazee wakiambiwa wanaona km wanchuriwa kufa au watoto wana tamaa ya mali, ila kiukweli ni muhimu sana kuandika wosia.

Kama mi baba yangu ukimwambia atakukata jicho moja halafu maneno utakayoambiwa we mwenyewe utachoka, wazee wetu bwana wanaona ni kama uchuro na wasivyopenda kufa lol. Yaani huu ushauri bishanga ni mzuri ila nilivyokumbuka baba yangu ambavyo huwa anareact ukimwambia nimejikuta nacheka kwa kweli
 
Mimi si mwanasheria ila my mum alishampeleka baba mahakamani kwa hiyo najua sheria ya ndoa inasema nusu ya mali ni ya mke na nusu ni ya mume. Na watoto hawana chao once marriage inapo end, ni juu ya wazazi kama watapenda kuwapatia hao watoto chochote.

Sasa inakuwa vipi mume akifa afu akaandika mali zake zote kwa anaowapenda yeye na kuto mpa chochote wife au kumpa wife kiduuuchu. Je mahakama haiwezi kubatilisha will kama hiyo??? Taking into consideration kuwa mali ni yao wote kisheria?

Nyumba kubwa hii ishu imetokea kwa jirani yetu hapa wiki chache zilizopita, kisheria mume akifa mke anapewa nusu ya mali halafu watoto wanapewa ile nusu iliyobaki wagawane haijalishi huyo mke alizaa na huyo mume au la mradi wawe tu wamefunga ndoa halali.
 
Haifai hata kidogo kutegemea mali za urithi.

Kabisa husninyo mi huwa namwambia kabisa binti yangu ingawa ni mdogo, soma mama huu ndio urithi wako ninachojitahidi ni kubanana na baba yako upate elimu nzuri itakayokusaidia akikua ataelewa nilikua namaanisha nini na akichezea maisha vile vile ni yeye wa kujilaumu na si kuja kulilia urithi sijui wa baba au wa mama. We umeshaona kijana msomi anagombania urithi? huwa anajua kabisa hizi mali hata mimi nina uwezo wa kuwa na zangu ni hao wazurulaji na wavuta bange ndio wanaogombaniaga
 
hongera kwa kumkazania binti yetu asome manake unanipunguzia ile kazi,lol! ila usiombe aisee, kuna mijitu imesoma na ina wajukuu wasomi na bado inagombea mali za ndugu zao! ni issue ya utu tu aisee,tabia haina dawa. nilikutana na shosti mmoja mahakamani baba yao kafariki,baba mdogo anaishi uingereza na wanae wametapakaa dunia nzima. ameweka na wakili kabisa anagombea nyumba ya marehemu na anasema hamtambui mke wa kakake.hapo wamekuja mahakamani huyo mdada (30+), mamake na mdhamini wa ndoa wa wazazi. watu wana roho ndogo,acha kabisa!

Back
Top Bottom