Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Hiki kinausiana nini na niliyoyaandika?

Judge for yourselves

"Shame" of long hair says St Paul

"Doth not even nature itself teach you, that, if a man have long hair, it is a shame unto him?"
– 1 Corinthians 11.14.
 
Huyo kwenye picha ni nani?
 
Mungu ni jina la jumla ila kila imani inajina la Mungu wake , taja jina la Mungu wako acha uoga
Mungu ni Mungu tu yeye hana hayo mambo ya imani, hayo ya imani ni siasa za humu humu duniani na hazimpeleki mtu kokote.
 
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 
Hawa ni wa Africa kumbe

Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;

Kumbukumbu La Torati 22:20

NGUVU YA BIKRA HII HAPA

na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Kumbukumbu La Torati 22:21

Hapo vip
 
Wewe Mungu wako ulishawai mleta hapa tumuone?

Ningekua nachinja watu namna mnavyofanya kwa jina la 'mungu' ningelazimika kumleta ili kudhihiisha kwanini mumuabudu....
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 
Ningekua nachinja watu namna mnavyofanya kwa jina la 'mungu' ningelazimika kumleta ili kudhihiisha kwanini mumuabudu....
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 
Mungu ni Mungu tu yeye hana hayo mambo ya imani, hayo ya imani ni siasa za humu humu duniani na hazimpeleki mtu kokote.
Kwani wewe ni imani gani mbona una sana kama kuku mwenye mdondo?
 
Ningekua nachinja watu namna mnavyofanya kwa jina la 'mungu' ningelazimika kumleta ili kudhihiisha kwanini mumuabudu....
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
Kwa jina la Yehova watu walichinjwa kataa biblia yako kwanza acha kelele

na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Kumbukumbu La Torati 22:21
 
Ningekua nachinja watu namna mnavyofanya kwa jina la 'mungu' ningelazimika kumleta ili kudhihiisha kwanini mumuabudu....
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....

Nimekuletea unajifanya hujasoma usitudanganye umesoma vizuri ,huna hoja tu unabakia kurusha vichwa
 
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…