Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!


Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 

Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 
Huu uzi utabaki sticky, kila mtu lazima ausome mlivyo, twende tu hivi

Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
Ubaki milele tungejuaje kahaba kapewa pesa nyingi hivi


na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Kumbukumbu La Torati 22:21
 
Wewe Mungu wako umeshawai kumleta hapa?
Mbona unamkimbia mungu wako

na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Kumbukumbu La Torati 22:21
 

anatofauti gan sasa na wako Mungu mnywa damu
 
Kwa maandiko haya hata ungekuwa wewe ungekimbia Mungu wako , kwasababu hajui kuwa yapo kwenye biblia yake
 

Moderator mnauangalia tu huu uzi, hakuna ukweli wowote juu ya hilo, wanaomfukia hawakuonyesha sura zao, anaefukiwa pia haonyeshi dalili yoyote ya kufanyiwa ukatili huo, ni propaganda watu flani wameamua kutengeneza tukio hilo.

Mkuu Maxence Melo, huu uzi ufutwe.
 
Uwepo upi sasa na wewe ? huyo mtoa mada anapaswa kujitambulisha kama mpagani kwanza ndio hilo swali nitajibu, kama ana amini kwenye vitabu atulie tujadili vitabu
kwan dini duniani ni uislam tu ? anataka kujuwa huyo mungu wenu wa waislam , na hili pia unahitaj mastars kuelewa?
 
Nataka kujua jina la Mungu wake mbona mnaruka ruka kama maharage , lazima nijue najadilina na mtu wa namna gani mpagani, mkristo au nani? mimi muislamu Mungu wangu ni Allah, ataje Mungu wake apate dawa yake
kwan hujui kama jamaa ni mkristo? aya jibu maswali yake sasa , nyiny waislam huwa mna matatizo sn , swali unaulizwa mungu wa waislam , wewe unazungumzia mungu wa wakristo sasa tukueleweje
 
Wanajifanya wako neutral hakuna jambo hilo waseme wao watu wa imani gani, kama ni vitabu tuanze kuvifungua hapa
sitak kuamin km ulikuwa huelew swali , sijaona sehem jamaa akisema yeye ni neutral
 
Suala sio wakristo , Biblia kwa maana ya maandiko yalikuwepo kabla ya nyie mnao jiita wakristo, swali langu wakati huo huyo Mungu wa Yakobo na Isiaka wanatoa hizo sheria za kuua wazinzi alikuwa KACHANGANYIKIWA? au ndio akili zake zinaingia na kutoka
hv swali la hao jamaa hulielew ? waislam shule ni sufuri kbs
 
Mungu anajua yote ila ana utaratibu wake ambao anatuonyesha wanadamu , Mungu hana mguu wala mkono hizo ni lugha za picha kuonyesha kuwa jambo fulani limekamilika au limefanyika
Story inasema ataingiza mguu shehe,Quran pia ina describe Mungu (Allah) kuwa ana mikono na miguu ambayo iko upande mmoja.
 
Wanafiki wote hao nawajua vizuri wana chuki kali sana dhidi ya Waislam hata unashindwa kuelewa hata huo Ukiristo wao hawaufahamu.
unaeza mpenda anaetangaza kukuua kusa quran imemfundisha hivyo ?
 
Hahahhaha unaikana biblia kazi yenu kushqmbulia Waislam biblia hamfahamu kabisa[emoji23]
alqaida , alshabab , boko haram hii ni dini ya shetan kbs , biblia na quran zinasema siku za mwisho atakuja shetan na atalazimisha watu kumuabudu , ndo tunaona uislam unatimiza maandiko , hii ni iman ya shetan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…