Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....HII HAPA BIBLIA
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Walawi 20:10
HII HAPA BIBLIA
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Walawi 20:10
HII HAPA BIBLIA
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Walawi 20:10
HII HAPA BIBLIA
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Walawi 20:10
HII HAPA BIBLIA
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Walawi 20:10
Yaani naanza kuamini kwamba hata hiyo Biblia hauijui au ni seme huna tofauti na wale wanao danganya watu kwa kutumia nusu ya mstari wa Biblia kama kina Kibwetere au Yule Mchungaji aliyedanganya wakenya kwa kutumia nusu mstari wa Biblia akawaua kwa mamia kama sio maelfu msitu wa Shakahola hivi majuzi.
Mfano: Quran 2: 191 ulishindwa nini kuweka hicho kifungu cha 191? badala yake unapotosha watu kwa kuweka vimaneno 7 ili kupata maana ya upotoshaji uliyokusudia?
Hujajibu swali langu, naomba aya inayohalalisha kuuwa watu wasio na hatia!
Na usipokuja na jibu, basi naomba usioquote!
Bwana Yesu anasema katika
Mathayo 10:34-39.
“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake. Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.
Na pia YESU akasisitiza kuwa
LUKQ 19:27 .
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Kwahio JIHADI kaanzisha Yesu.
Sisi tunaiga tu.
Tusome BIBLIA ili kujifunza Mazuri inayotusomesha.
BIBLIA INASEMA ktk MATAYO 2: 16 .
Mfalme Gerode akawatuma watu kuwaua watoto wote wa kiume wenye umri wa miaka miwili kwenda chini katika mji wa Betlehemu na sehemu zote za jirani,
Kwahio tusiwalaumu Waisraeli kuua watoto. Hii ni ktk andiko la Bible.
Bible pia inasema Mwanamke akibakiwa BASI AUWAWE .
Deuteronomy 22:22-23, if a man rapes a married woman within a town, the woman is put to death.
Pia tunajifunza hapa kuwa atakaepinga UKRISTO anastahiki KUUAWA.
YESU anasema Katika LUKA 19:27.
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Tunaendelea kujifunza Maneno mazuri kutoka ktk BIBLE Polepole.
Naomba tulete maandiko sio matusi na kashfa.
Wewe dini yako ni ya nani? Au huna dini?Eti dini ya mwenyezi Mungu...dah ndio maana Israel wanawatwanga huko Gaza.
Nini maana ya Ugadi?Kuna mstari mwembamba sana ambao unatenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
Wewe huna akiliUislam ni ushetani.
'mungu' wa watu wa mashariki ya kati ndio inasemekana "aliagiza wasio na imani hiyo wauawe kwa mawe"Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye.
Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.
Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo.
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha.
==============================
This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.
Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.
The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.
Nionyeshe andiko lolote la kiswahili au la kiingereza ambalo Yesu alitaja gay.
'mungu' wa watu wa mashariki ya kati ndio inasemekana "aliagiza wasio na imani hiyo wauawe kwa mawe"
Rest assured , watu hao wanajiita watu wa "amani" , ubatili mtupu.
Wanajiita dini ya amani na haki alafu wanachukua nafasi ya Mungu kwenye hukumu ndio maana mara zote hua nasema huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi, muislam alieshika Sana dini tofauti yake na shetani ni ndogo Sana
Kwanini usimwambie asome Qurani.soma biblia
QUEEN JAMES BIBLE utaikuta