Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Kwanini usimwambie asome Qurani.
Ambayo ina injiri ya Isa.
Ni kwa kuwa maneno haya yamo kwenye biblia

1704955078465.jpeg
 
soma biblia

QUEEN JAMES BIBLE utaikuta
Kwanza hakuna biblia ya queen James
Pili hilo andiko la Mathew 19:12 kutoka King James hili hapa

12For there are [c]eunuchs who were born thus from their mother’s womb, and there are eunuchs who were made eunuchs by men, and there are eunuchs who have made themselves eunuchs for the kingdom of heaven’s sake. He who is able to accept it, let him accept it.”

Hebu nionyeshe hanapozungumzi gay.
 
Acha kusema Uongo.
YESU HAJAWAHI KUJENGA KANISA. wala Kuingia kanisani.
And I tell you that you are Peter, and on this rock I will build my church, and the gates of Hades will not overcome it.
Yesu aliahidi kulijenga kanisa na alishalijenga
Kusanyiko takatifu linaloabudu katika roho na kweli si majengo
Na anaposema
Mathayo 16 : 18 - Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Malango ya kuzimu ni pamoja na ushoga, uislamu, pamoja na huyo papa anaebariki mashoga
 
Yohana 8:7

Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe"
 
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
HUYU HAPA KASABABISHA

Na mtu mume akilala na mkwewe mwanamke wote wawili hakika watauawa; wamefanya yaliyo uchafuko; damu yao itakuwa juu yao.

Walawi 20:12
 
HUYU HAPA

HUU HAPA

Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.

Kumbukumbu La Torati 22:22
 
Back
Top Bottom