kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Huyo mtoto wa zinaa ukibishana nae unampa kichwa kwa kujiona ameandika la maana.Si ulitaka uwekewe huyo mungu ndio nimekuwekea ,mbona umeanza kurudha vichwa na hadithi zako ulizopewa na Nabii wako TIto?
Misukule ya namna hio ni kuipuuza tu.
Hata umpe jibu la namna gani hatokubali .
Ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi ukitegemea acheze. Hapo utakesha.
