Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Si ndiyo nilikupa advice ukajifunze kwanza unajifanya wewe ni mtaalamu, inakuwaje umekuja na maneno eti Mimi ni lugha yangu ya pili?Kama zipo kwenye Qurani ndio nilimaanisha hivyo.
Mimi sio mtu wa Pwani.
Kiswahili sio Lugha yangu ya Kwanza.
Wacha kudanganya , Bwana Yesu alionya kila neno litalipwa wewe endelea na mchezo wako