UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu.

Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji.

Kati ya Januari 2017 hadi Disemba 2021, tani 605 za bidhaa za matibabu zilikamatwa Afrika Magharibi katika operesheni za kimataifa, huku ikielezqa kuna vifo 267,000 kila mwaka vinavyohusishwa na matumizi ya dawa za malaria zisizokidhi vigezo.

Ofisi ya UN inayosimamia Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) imesema kuna kasoro kadhaa katika kuripoti kuhusu biashara hiyo haramu na huenda idadi ya dawa hizo zisizofaa ikiwa juu zaidi ya ilivyo kwenye takwimu.

=====

Up to 50%' of medicines in Africa's Sahel region are fake or substandard

Beyond risk of counterfeits and poorly made drugs — which at best do not work and at worst lead to toxic contaminations — UN report also warns of legitimate medications being used in unauthorised ways.

Up to 50 percent of medicines in West Africa are substandard or fake, the UN has warned in a report on the illicit trade in medical products, which can lead to antimicrobial resistance or toxic contaminations while undermining trust in healthcare systems.

Between January 2017 and December 2021, at least 605 tonnes of medical products were seized in West Africa during international operations, the United Nations Office on Drugs and Crime (UNODC) said on Tuesday, though reporting is inconsistent, and the real number is likely to be higher.

Across sub-Saharan Africa, up to $44.7 million per year is spent on treating people who have used counterfeit or substandard malaria treatments, the report said.

And up to 267,000 deaths are linked each year to the use of substandard antimalarials, according to World Health Organisation data cited by the report.

Beyond the risk of counterfeits and poorly made drugs — which at best do not work and at worst lead to toxic contaminations — the report also warned of legitimate medications being used in unauthorised ways.

That can lead to increased resistance to frontline drugs such as antibiotics and antimalarials.

"Once a [legitimate] product is diverted from the supply chain, there is very little [oversight] about how it is being used," said Francois Patuel, the head of the UNODC's Research and Awareness Unit.

"If you... ask for an antibiotic in the market, you will be able to purchase it. Whether it is the right antibiotic that should be used, or should be used at all, is not something that is controlled," he added.

"It is contributing to bacterial resistance and to antimalarial resistance."

Source: TRT World
 
tutumie za asili mbona ndio chanzo cha hizo dawa za viwandani tena kwa asilimia kubwa mchanganyo upo kwenye dawa za asili, viwu wao na propaganda zao ili wauze dawa zao zenye matokeo mabaya kama ushoga viambata vingi vya dawafeki vina madhara mno katika mfumo wa hormones
 
Afrika tuna kila dawa za magonjwa tofauti za asili miti dawa na lishe dawa lakini tujiamini ni wakati kwa serikali za kiafrika kuingiza somo la Sayansi ya tiba asili vyuoni tuna kila kitu sisi
 
Afrika tuna kila dawa za magonjwa tofauti za asili miti dawa na lishe dawa lakini tujiamini ni wakati kwa serikali za kiafrika kuingiza somo la Sayansi ya tiba asili vyuoni tuna kila kitu sisi
 
Back
Top Bottom