joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sijaelewa kwa undani hasa lengo la UN - Habitat kutengeneza hii video. Je walitaka kutoa ujumbe gani hasa?. Ningependa wakenya wachangie zaidi katika Uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app