deojames
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 415
- 208
Sana hii ripoti ni ya kiboya sana. Kama ukarimu watanzania wako vizuri sanaNilivyoona2 Libya ndio inaongoza Africa nikajua tu hii n report ya kiduanzi
Sent from my Siemens c55
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana hii ripoti ni ya kiboya sana. Kama ukarimu watanzania wako vizuri sanaNilivyoona2 Libya ndio inaongoza Africa nikajua tu hii n report ya kiduanzi
Sasa Kama walifanya utafiti mitandaoni na hasa humu jf ambamo muda wote ni kulalamika dhidi ya jpm na serikali yake wewe unatarajia Nini?!Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha.
Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan).
Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha ya mtu yeyote, juhudi nyingi za mtu/watu ni ili aweze kupata furaha. Hata ukifanikiwa kiasi gani kama hauna furaha ni kazi bure.
Ni wakati sasa wana Dar es Salaam na Watanzania kujiuliza kwanini tumekuwa watu wenye huzuni na machungu hadi tunashuka mkia duniani na kuanza kuweka mikakati jinsi ya kutoka kwenye hali hii mbaya.
Ikiendelea na uo mtazamo utaendelea kuwa na hali mbaya mpaka 2025..😏
hahahahaaaaaa! mbavu zangu mie! 🤣 😀😀😀😀🤣Pongezi nyingi zimuendee Rais wetu kipenzi cha wanyonge John pombe magufuli kuhainga usiku na mchana angalau sisi wananchi wake tupate furaha Magufuli ni chaguo la Mungu
furaha itatoka wapi wakati.....Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha.
Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan).
Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha ya mtu yeyote, juhudi nyingi za mtu/watu ni ili aweze kupata furaha. Hata ukifanikiwa kiasi gani kama hauna furaha ni kazi bure.
Ni wakati sasa wana Dar es Salaam na Watanzania kujiuliza kwanini tumekuwa watu wenye huzuni na machungu hadi tunashuka mkia duniani na kuanza kuweka mikakati jinsi ya kutoka kwenye hali hii mbaya.
Hapo no.2 😅😅😅😅😅furaha itatoka wapi wakati.....
1. mhalifu anavamia kituo cha habari klauzi but anayeadhibiwa ni yule anayemdhibiti?
2. polisi wanapiga risasi zinapaa weeee, zinakata kona weeee halafu zinarudi chini tiii na kuua mtu?
3. kijana (Magoti) anayetuhumiwa kwa money laundering ya 17M anasota lupango but mtuhumiwa wa matirioni (Kangi mauno) anadunda mtaani na posho juu?
Mungu anajua Cha kufanya tufurahi Leo katuthibitishia rasmi yeye ni mawePongezi nyingi zimuendee Rais wetu kipenzi cha wanyonge John pombe magufuli kuhainga usiku na mchana angalau sisi wananchi wake tupate furaha Magufuli ni chaguo la Mungu
Kweli kuna sura nyingine hazina fulaha toka zipo. Kama mwenyekiti wetu ccmAngalia sura za marais wa Tanzania, Uganda na Rwanda hivi zina furaha zile zimejaa hasira. Bora yule wa Kenya kidogo anacheka kuliko hawa wengine. Sisi wananchi furaha tutaipata wapi na marais hawana?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wewe nae sijui mjinga wa wapi? Utafiti umefanywa lini?Unafahamu maana ya kushika mkia?,
si ajabu wewe ni mshika mkia huko shuleni kwenu.
Anyway, yaani Jiji LA Roma huko Italy na Wuhan nchini China yaliyokumbwa na Corona yawe na furaha kuliko Dar es salaam kweli?
Jiji LA Kigali, Kamapala na Nairobi ambayo yapo katika Karantini Hakuna kutoka wala kuingia yatuzidi furaha wana Daresalamu?
Kigezo cha kuzuia Shisha na Ushoga Dar es salaam ndipo Mabeberu wanatuaminisha kwamba Dar Hakuna Furaha wakati mabasi yote yanajaza watu Dar salaam, Treni, Meli na Ndege zote zinajaza kuingia Dar es salaam.
Dar ni Jiji LA Raha na furaha, tuachieni Jiji letu
Akili za kuambiwa changanya na zako.