UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

Sasa Kama walifanya utafiti mitandaoni na hasa humu jf ambamo muda wote ni kulalamika dhidi ya jpm na serikali yake wewe unatarajia Nini?!
 
Pongezi nyingi zimuendee Rais wetu kipenzi cha wanyonge John pombe magufuli kuhainga usiku na mchana angalau sisi wananchi wake tupate furaha Magufuli ni chaguo la Mungu
hahahahaaaaaa! mbavu zangu mie! 🀣 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£
 
furaha itatoka wapi wakati.....

1. mhalifu anavamia kituo cha habari klauzi but anayeadhibiwa ni yule anayemdhibiti?

2. polisi wanapiga risasi zinapaa weeee, zinakata kona weeee halafu zinarudi chini tiii na kuua mtu?

3. kijana (Magoti) anayetuhumiwa kwa money laundering ya 17M anasota lupango but mtuhumiwa wa matirioni (Kangi mauno) anadunda mtaani na posho juu?
 
Hapo no.2 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Technique ya kumuua mbwa ni unaanza kwa kumuita jina baya!
 
Pongezi nyingi zimuendee Rais wetu kipenzi cha wanyonge John pombe magufuli kuhainga usiku na mchana angalau sisi wananchi wake tupate furaha Magufuli ni chaguo la Mungu
Mungu anajua Cha kufanya tufurahi Leo katuthibitishia rasmi yeye ni mawe
 
Kwa kusema ukweli watanzania haruna furaha na wala hatuna mapenzi na nchi yetu. Ukitaka kujua ni kweli muulize mtu yoyote alie ugaibuni atakwambia. Kila akiuliza nyumbani vipi ni malalamiko tu. Kila akisema anatamani kurudi basi watu wanamvunja nguvu eti kugumu sana. Hata tungeshika mkia nisingeshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia sura za marais wa Tanzania, Uganda na Rwanda hivi zina furaha zile zimejaa hasira. Bora yule wa Kenya kidogo anacheka kuliko hawa wengine. Sisi wananchi furaha tutaipata wapi na marais hawana?


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kweli kuna sura nyingine hazina fulaha toka zipo. Kama mwenyekiti wetu ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae sijui mjinga wa wapi? Utafiti umefanywa lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…