furaha itatoka wapi wakati.....
1. mhalifu anavamia kituo cha habari klauzi but anayeadhibiwa ni yule anayemdhibiti?
2. polisi wanapiga risasi zinapaa weeee, zinakata kona weeee halafu zinarudi chini tiii na kuua mtu?
3. kijana (Magoti) anayetuhumiwa kwa money laundering ya 17M anasota lupango but mtuhumiwa wa matirioni (Kangi mauno) anadunda mtaani na posho juu?