Si ajali ya kihistoria bali ni makusudi mazima na roho mbovu ya "Mtakatifu Mwalimu"
Pole Mkuu, usilolijuwa usiku wa kiza....sisi ndo tunajuwa adhabu ya kaburi...No, ajali ya kihistoria ndiyo iliyomfanya Mwalimu auze haki yake ya uzaliwa Tanganyika kwa ndoto ya umoja wa Afrika.
Yaani shukuruni Nyerere alikuwa civil, angekuwa brute angeifanya Unguja kuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani na Pemba wilaya ya Tanga, kama ilivyo Mafia.Kwani mafia Unguja na Pemba kuna tofauti gani? Na kwa nini mafia iwe wilaya Unguja na Pemba zisiwe?
Bahati yenu Mwalimu hakuwa na roho ya kuwakandamiza kama alivyofanya Selassie huko Eritrea.
AG bara hatuambii upo wapi.
Mkataba wa Muungano umefichwa, Tanganyika wanajuwa ulipo .. na ndo maaana wanaficha makusudi
kale kazee kalistahili kuuwawa kama Samuel Doe na si kufa kitandani S.t Thomas na kuzikwa kwa gharama za walipa kodi nyingi kiasi kile.
Mkataba umesainiwa kweli na nakala tumepewa labda.Ya kweli hayo?
Nakala yenu ya Muungano nyinyi hamkupewa?
No,samahani asinge uwawa kama Doe(nimempendelea) alistahili kufa kifo cha heshima zaidi ya hadhi yake kama Sadam Hussein.Junius,
Huyu Mwalimu amewasaidia sana Visiwani! Visiwani walichinjana kama kuku 1964 mwalimu akamhifanya Sultani na kumkamata Okello..leo hii unasema angeuwawa kama Doe??
On what authority of your consideration the ICJ or UN can not entertain the matters?
What about if the situation is set to endangering the world peace and tranquility such that it will incur the UN to spend on peacekeeping forces missions and other resources in future to solve the isles problems which pose such dangers to the region. For the UN the memory is still fresh on plagued issues of Congo, Katanga, East Timor, Korea to mention few.
Uchaguzi wa 2010 ni lazima wananchi wapewe nafasi ya kuamua moja kwa moja kuhusu muungano, kwa kuupigia kura ya maoni itakayosimamiwa na wasimamizi mahiri wa kimataifa.Hakuna kiinimacho cha ratification ya bunge wala baraza la wawakilishi.
Mimi wa kwanza kusema hapana kwa muungano, tumechoka kisiwa ambacho ni kidogo kuliko Kahama kwa kila kitu (eneo, population natural resources etc) kitukalie kooni eti tu kwa sababu ya ajali ya kihistoria.
He he he Mkataa asili Mtumwa,,,,aah hata mimi ntasema NDIO kwahio kura ya maoni,nimechoka na mikelele ya hawa wanasiasa uchwara wanaotoa malalamiko mapya kila kukicha,ntachukua mke wangu wa KIPEMBA(Bi SALHA),na wanangu wawili ambao rekodi zao zipo pale Mambo Msije,ntawarudisha kwa babu zao huko MASKATI fisi(NZEGA),kwenye waarabu mpaka vijijini ambao hawana ubaguzi wala makelele yasio na kichwa wala miguu,Kama jambo ndio lishatokea,BABA zetu ndio walisha amua kutuunganisha.Wale wa TANGANYIKA sio kwamba HAWAUPENDI Utanganyika wao,ni watu waliokuwa tayari kuwa wa TANZANIA zaidi,imebakia kila siku tunaskia tu,oooh Zanzibar inajulikana tangu enzi hizo,ooh Zanzibar ilikua na kiti chake UN,sasa kwani nani hajui ka Tanganyika ilikuwepo tangu enzi hizo,kwani mnataka kusema hao Tanganyika hawakua na kiti huko UN???,,Acheni U mimi na Uzanzibarism,kama kweli tunaweza,itisha hio referendamu ili tujue moja sasa.
sasa je wakishapata uhuru wa taifa lao ndo meandeleo?? Je Comoro na Madagaska wako huru toka hapo.. choka mabya tu!
Visiwani hawataki kufanya kazi ni siasi tu na kulalamika..mimi nadhani mtu akililia wembe mpe!
Bara hakuna cha maana wanachofaidika nacho kwa kung'ang'ania watu mil. 1 wanaopenda sana kulialia na kulalamika kila siku!
Pinda alishaonya kuwa..kama hakuna Muungano Bara poa tu ni nchi kubwa..sema Visiwani watapata shida na taabu!
leo nimefika mahali na kuelewa kuwa hii Tanganyika ni kisima cha kujichotea mali ukielewa jinsi gani kuwazidi marifa na ujanja watu wake, na ndio leo ndio unakuta mambo kama kina EPA sijaona hata watanganyika wanashindwa kutetea Tangayika yao inapokuja hoja zanzibar wanapopiga kelele kubwa watanganyika utwasikia zanzibar wakijitowa hivi itakuwa vile wacha iwe itakwavyokuwa waswahili wanasema pilipili usio ila wewe yakuwashiani, kama kweli kuna machungu juu ya zanzibar basi mtakuwa watu wa majabu mshindwe kuwatetea na kuwapigania ndugu zenu wa damu na koo wanaoishi vijini huko ambao maisha yao wanayoishi hayana tafauti na yale ya watu wanaoishi kule KALAHARI.
Babylon,
Bara hudharau hizi kelele ..unajua eneo na uchumi wa Visiwani na Idadi ya watu ni sawa na Wilaya ya Kahama tu!!
Jua Bara kuna Wilaya zaidi ya 130!
Sii wengi sana bara wanamind haya mambo ya Muungano wapo wanchapa kazi tu..sii kama Visiwani..watu wanatumia mda wao bila kufanya kazi kulalamika!
Hakuna kitu kibaya kwa mtu mzima kulalamika kila siku hata bila kuwa na sababu!
Muhimu..tuwe na referendum!
Babylon,
Bara hudharau hizi kelele ..unajua eneo na uchumi wa Visiwani na Idadi ya watu ni sawa na Wilaya ya Kahama tu!!
Jua Bara kuna Wilaya zaidi ya 130!
Sii wengi sana bara wanamind haya mambo ya Muungano wapo wanchapa kazi tu..sii kama Visiwani..watu wanatumia mda wao bila kufanya kazi kulalamika!
Hakuna kitu kibaya kwa mtu mzima kulalamika kila siku hata bila kuwa na sababu!
Muhimu..tuwe na referendum!
kwani kabla ya kunganishwa hiyo Tanu na ASP 1977walikuwa wanaishi vipi si walikuwa na mamuzi yao na mambo yao ?wache wafanye mamuzi yao chukulia wewe binafsi unavyochukwa mamuzi juu ya maisha yako.
Pole Mkuu, usilolijuwa usiku wa kiza....sisi ndo tunajuwa adhabu ya kaburi...
Nyerere hakuuza haki yake ya uzawa kwa ndoto ya Umoja wa Afrika, mbona hakulazimisha EAC kuungana tena ilipovunjika 1967(kachangia ivunjike) na kwanini alilazimisha Zanzibar isihoji Muungano kama kweli alikuwa na dhamira hiyo na kwanini asitafute nchi nyengine kuungana ambazo zipo jirani zaidi kama kweli alikua na dhamira ya umoja wa kweli na si unafiki.
Mkuu mm sitaki kwenda huko lakini kwa ukandamizaji kale kazee kalistahili kuuwawa kama Samuel Doe na si kufa kitandani S.t Thomas na kuzikwa kwa gharama za walipa kodi nyingi kiasi kile.