UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

Sioni shida maana hata nchi za magharibi zinapeka silaha nzito Ukraini mabazo zinatumika katika uwanja wa vita.
 
Kwamba Ni sahihi kombola made in Iran kutua Israel kutokea Gaza ila sio sahihi kombora made in USA kutua Gaza kutokea Israel ? Hili bara kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru tumezalisha vilaza wengi weng vyet vya elimu ila kichwan weupe
Mbona unaropoka sana mzee!?
Agree to disagree kibaaaao.
Unazunguka palepale.
Kama ilivyo sio sahihi kwa USA kuwafadhili watu silaha basi na kw wengine vivyo hivyo.
Hivi unafahamu kama machafuko ya Haiti ni ufadhili wa USA na silaha zitumikazo ni za USA!?
 
Kwamba Ni sahihi kombola made in Iran kutua Israel kutokea Gaza ila sio sahihi kombora made in USA kutua Gaza kutokea Israel ? Hili bara kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru tumezalisha vilaza wengi weng vyet vya elimu ila kichwan weupe
Punguza panic Basi

nime zungumzia kwamba nisahihi U.S.A kuipa Israel makombora ili Israel iya tumie makombora hayo kuipiga gaza/parestina

lakini sio sahihi north korea kuipa makombora Russia ili yasaidie kuipiga u craine na kwanini iwe si sahihi?

jibu watakalo kuwa nalo U.S.A kwamba si sahihi ndio hilohilo wanalo paswa kulitumia kuacha kuisaidia kijeshi Israel

kwa sababu Kama ilivyo U.S.A kwa Israel ndivyo ilivyo North Korea kwa Russia

na Kama ilivyo Gaza/parestina kwa Israel ndivyo ilivyo u craine kwa Russia

je unataka kuniambia hao wachunguzi waki ingia Gaza hawata yakuta mabaki ya siraha za U.S.A?

nakama wata yakuta kwanini walete lawama kuyakuta mabaki ya North huko u craine?
 
Hii ni aibu kwa Urusi, anajiita superpower na anaazima silaha.
Nime jaribu kumchunguza Nafikiri hataki kuonyesha technology yake kwa maadui zake USA

so anacho kifanya anatumia siraha za zamani au zile anazo ziteka kwa wa u craine na vibaraka wao

kwa sababu Vita ya ucraine nivita ambayo wababe wawili Wana somana uwezo kijeshi kabra ya ku kabiliana uso kwa uso

Sidhani Kama atakuwa ameishiwa
 
Back
Top Bottom