Kwamba Ni sahihi kombola made in Iran kutua Israel kutokea Gaza ila sio sahihi kombora made in USA kutua Gaza kutokea Israel ? Hili bara kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru tumezalisha vilaza wengi weng vyet vya elimu ila kichwan weupe
Mbona unaropoka sana mzee!?
Agree to disagree kibaaaao.
Unazunguka palepale.
Kama ilivyo sio sahihi kwa USA kuwafadhili watu silaha basi na kw wengine vivyo hivyo.
Hivi unafahamu kama machafuko ya Haiti ni ufadhili wa USA na silaha zitumikazo ni za USA!?