UN na AU waunga mkono jitihada za EAC kutuma jeshi la pamoja kwenda kuiweka sawa DRC

UN na AU waunga mkono jitihada za EAC kutuma jeshi la pamoja kwenda kuiweka sawa DRC

Wasije wakaingia DRC kulinda amani na kuishia kuchapana wenyewe kwa wenyewe! Refer UPDF n RDF infighting 1999-2000!
Just this week Kagame and Museveni held bilateral talks concerning the region

FRISCopXwAQAa_c.jpg
 
Naona hapo ni kutaka kupigana na proxies za Mabeberu ambao wanalinda maslahi yao! Yaani vita Congo haitaisha mpaka madini yatakapokwisha kwenye ardhi ya Congo.
 
Uhuru and Tshisekedi addressing representatives of various Congolese armed groups in Nairobi.

FRXgLs8X0AoxxU_.jpg

FRXgMD6XsAIqQND.jpg
 
Hapo UHURU ndio mkweli kwa sababu anajua madhira ya Alshabaab lakini hao wezi kagame na museveni waache kuiba mbao na dhahabu congo hadi jua lishuke, Uhuru afahamu wanafiki anao hapo hapo japo joint operation ya Uganda majuzi ilileta matokeo chanya
 
Sio lazima tuwe na common army mzee. Huko Somalia kila nchi iligawiwa sector yake na mambo ikawa shwari. Jubbaland ilikuwa ya Kenya na Mogadishu ilikuwa ya uganda. Ethiopia walipewa kaskazini mwa Somalia.
Unaelewa maana ya rapid force lakini? Sijakataa lakini kwa individual countries kupeleka majeshi yake nchi nyingine sio kama kula githeri mkuu it is a process.
 
Unaelewa maana ya rapid force lakini? Sijakataa lakini kwa individual countries kupeleka majeshi yake nchi nyingine sio kama kula githeri mkuu it is a process.
Sawa nakubali.
 
Unaelewa maana ya rapid force lakini? Sijakataa lakini kwa individual countries kupeleka majeshi yake nchi nyingine sio kama kula githeri mkuu it is a process.

Mimi sio mzoefu wa haya mambo ila huwa nafahamu kuna kikosi kinachoitwa Eastern Africa Standby Force About Us
 
Back
Top Bottom