Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium Development Goals (MDGs) ambapo nchi zote zilikua zinafaa zihitimu kabla ya mwaka wa 2,000.. Wengi wetu tulifeli kuhitimu... Baada ya hapo UN ilitengeneza malengo mapya ya karne hii yanayoitwa Sustainable Development Goals ..
Kwa kifupi kuna malengo 17, ikiwemo kuondoa njaa, umaskini, elimu kwa kila mtu, afya, maji safi, uaswa wa jinsia.. na ajenda ya saba ni uwepo kwa umeme kwa kila mwananchi atayetaka kuutumia yani (Access to electricity), malengo haya yote tunafaa tue tumeyafikia kabla mwaka wa 2030!
soma zaidi hapa THE 17 GOALS | Sustainable Development
-----------
Nimefurahia kuona Kenya ndo imeshikilia hatua ya kwanza duniani (Developing countries) kwa usambazaji wa nyaya za umeme kufikia kila mtu ndani ya nchi tangu. Kuandia miradi ya Rural Electrification hadi ile ya kuhakikisha kila Primary School inasambaziwa Umeme, jitihada zetu zimezaa matunda na kuonekana.
Kenya inaongoza kwa kua na the fastest growth in Access to Electricity, Ingawaje India ndo inaongoza kwa kua na watu wengi ambao tayari wanapata stima. Hii growth rate ya usambazaji wa umeme Kenya ni kubwa kuliko birth rate kwahivyo tukiendelea hivyo tutaweza kufikia kila mwananchi ndani ya miaka michache zaidi.
(Hapo naona TZ imepigiwa duara la kijani kumaanisha Tz inatambulika kama "Lower Middle Income" sasa! hoongera!!!
Idadi ya Wananchi ambao hawajafikiwa na nyaya za umeme. Kenya ni 16 Million bado hawajafikiwa
Kenya ndo imepiga hatua kubwa zaidi kwa usambazaji wa umeme ndani ya miaka kumi, ikifatwa na banladesh, Uganda alafu Tanzania. Kwahivyo main countries za EAC zote ziko mbioni. Hii ndo maana mi hua napenda kuona nchi jirani zikiendelea na kupiga hatua, maanake mkipiga hatua ndo hua mnatushtua na kutufanya tukaze kamba na sisi tupige hatua kama hio, lakini ikiwa majirani wamezubaa basi hata sisi tunazembea manake hatuna mpinzani anayetutishia.
Source: