UN Secretary-General Ban Ki-moon sacks Major General Ondieki

UN Secretary-General Ban Ki-moon sacks Major General Ondieki

Aibu kubwa kwa Jenerali kutimuliwa.kenya wanatakiwa wapunguze hasira,hawajui nini kitatokea kwenye uchaguzi wao,je na wao wakihitaji ulinzi wa UN itakuaje

Mkuu,
Umedokeza jambo la muhimu sana ktk mtafaruku huu kuwa ''mchezo huu hauhitaji hasira'' bali njia mwafaka za kidiplomasia ndiyo zifuatwe kwa mawasiliano ya nyuma ya pazi kabla ya kutoa matamko yenye mihemuko na hasira kali kwani kuna leo na kesho, ambapo Kenya inaweza kuhitaji msaada wa jumuiya ya Kimataifa.
 
Mkuu,
Umedokeza jambo la muhimu sana ktk mtafaruku huu wa kimataifa kuwa ''mchezo huu hauhitaji hasira'' bali njia za kidiplomasia ndiyo zifuatwe kwa mawasiliano ya nyuma ya pazi kabla ya kutoa matamko yenye mihemuko na hasira kali.

Nadhani UK alikua amevuta bange wakati anatoa tamko zito namna ile.

Halafu sijui wakenya wanaugua ugonjwa gani,mara wajitoe ICC,sasa wanaondoa mgambo wao sudan ya kusini,bora waondoke tu walikua wanafanya biashara ya magendo tu na kutoza watu kodi(KRA),
 
Huyo Magu wenyu alikuwa kanywa Pombe kwanza kiroba alipokurupuka hivi juzi?.......kalb hayawani weye!
 
Back
Top Bottom