- Thread starter
- #21
Aibu kubwa kwa Jenerali kutimuliwa.kenya wanatakiwa wapunguze hasira,hawajui nini kitatokea kwenye uchaguzi wao,je na wao wakihitaji ulinzi wa UN itakuaje
Mkuu,
Umedokeza jambo la muhimu sana ktk mtafaruku huu kuwa ''mchezo huu hauhitaji hasira'' bali njia mwafaka za kidiplomasia ndiyo zifuatwe kwa mawasiliano ya nyuma ya pazi kabla ya kutoa matamko yenye mihemuko na hasira kali kwani kuna leo na kesho, ambapo Kenya inaweza kuhitaji msaada wa jumuiya ya Kimataifa.