Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Umoja wa Mataifa(UN) umesema taarifa zisizo sahihi kuhusu chanjo ya #COVID19 kunarefusha muda ambao ungetumika kudhibiti maambukizi ya Corona.
UN wametoa wito kwa raia kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza taarifa hizo kwa wengine ambazo zinaathiri mapambano dhidi ya Corona.
Wamesema taarifa za mtandaoni husambaa kwa kasi ya moto wa nyikani, taarifa ndogo ya kupotosha huweza kuleta madhara makubwa.