UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
 
Kushikamana na urusi kivipi.
Wakigoma kupiga kura maana yake hawajachagua kuegemea upande wowote. Sijui kuhusu china, ila tanzania haijapiga kura.
Hii maana yake hukubaliani na "Motion on the table", agenda iliyowakilishwa ni kupata kura za ndio ili kulaani Urusi, Kitendo cha kutopiga kura ni kutaka kuhakikisha kwamba 2/3 ya kura za ndio hazipatikani. The smart way of saying No"
 
The West wana nguvu sasa, bomba la Mafuta Uganda linaweza kupita kwingine!
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.

Tanzania abstains from UN vote to condemn Russia invasion​

THURSDAY MARCH 03 2022​

UN Vote pix

Summary

  • Kenya, Ghana, Gabon, Rwanda, Djibouti, Congo, Somalia and the Democratic Republic of Congo voted yes.

The citizen pic

By The Citizen Reporter
More by this Author
The east African pic

By The East African
More by this Author

Dar es Salaam. Tanzania on Wednesday abstained from voting as the UN General Assembly voted to condemn Russia’s invasion of Ukraine, signaling further international pressure on Moscow.

Alongside with Tanzania, 16 other African countries stayed away from the vote

The UN General Assembly, which was this week sitting under an emergency session, a rare sitting occasioned only by a serious threat to international security, voted to condemn what a motion said was “aggression against Ukraine” following Russia’s February 24 invasion of its neighbour.

The vote, which is mostly politically symbolic but lacks legal strength, means the UN has declared Moscow’s decision a violation of the UN Charter, especially on issues of territorial integrity.

Voted by 141 of the 193 member states of the UN, the vote became only a first in 40 years when the General Assembly has sat and passed a resolution to reprimand a member’s aggression.

Kenya, Ghana, Gabon, Rwanda, Djibouti, Congo, Somalia and the Democratic Republic of Congo voted yes.

Some 35 countries abstained from the vote, including Russia and China, and African states – Burundi, Senegal, South Sudan, South Africa, Uganda, Mali and Mozambique.

Ethiopia did not take part in the voting
, but Eritrea, North Korea and Syria voted against the resolution.

Adonia Ayebare, Uganda’s Permanent Representative to the UN, claimed neutrality was behind his country’s refusal to vote.

“As incoming Chair of the Non- Aligned Movement (NAM) neutrality is key. Uganda will continue to play a constructive role in the maintenance of peace and security both regionally and globally,” he said.

Though Uganda has not formally stated its stance on the Russia-Ukraine war, Muhoozi Kainerugaba, the President’s son and commander of Land Forces, suggested that Russia had valid “security” reasons to invade Ukraine.

“The majority of mankind (that are non-white) support Russia's stand in Ukraine. Putin is absolutely right! When the USSR parked nuclear armed missiles in Cuba in 1962 the West was ready to blow up the world over it. Now when NATO does the same they expect Russia to do differently?” he tweeted on February 28.

The Ukrainian invasion has also raised concerns about the plight of black students caught in the chaos.

On Wednesday, Ukraine’s Foreign Minister Dmytro Kuleba said his government had established an emergency line, +380934185684, to help stranded foreign students.

“We are working intensively to ensure their safety and speed up their passage. Russia must stop its aggression which affects us all,” he said, but did not refer to the claims of racism.

The EU had earlier said its member states were accepting foreign students fleeing the war without condition.

MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Sijakuelewa, Yaani hao Urusi China sijui na nani hiki ni kipindi kigumu kwao?
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
sasa mama ataenda kukopa wapi akisha abstain
 
Mkuu, nchi zote za west zinajua kwamba Tanzania hatupo upande wao tangu enzi za Nyerere, wamekubaliana na kuheshimu misimamo yetu, tumekubaliana kutokukubaliana, hawana shida kabisa na sisi, wanatuheshimu Sana.
Huyo geza ulole kwake kushikwa tako na beberu kwake ni heshima achana naye ni zuzu la serikalini hilo
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Kuwacha masuala ya sasa yaamuliwe na historia huo ni upuuzi.

Historia ya baadae inatengenezwa na matukio ya sasa hivi,kwa hiyo tuanze kuachana na historia tuishi na hali ya sasa
 
Mawazo ya kijinga haya, kwa hiyo wewe katika maisha yako "past lessons don't have any effects on your today's decisions?. Njia uliyopita zamani ikakupeleka kubaya utaendelea kuitumia?
 
Back
Top Bottom