UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi

Sasa kushikana na Urusi ndio kusimama imara?

Hivi Mkuu Kenya mbona huwa hamtumii akili hata kwa vitu vidogo tu kama hivi,
Why do u take sides on situations like these?
Ni kiherehere au ni nini?
Kenya ni nchi ya ‘Ndio boss’ yaani nimewadharau sana kwa hili. You don’t know what you stand for as a nation. Hovyo kabisa.

we understand that whatever United Kingdom says is what your poor nation will always stand for.
 
kwendraaah😬😬😬😬😬
Sasa tulichokua tukiuza Ukraine Russia watanunua??
"Utige ufudhi kimushakwe giki!"
Sisi tunaenda na ambao tunaelewana,haya nyinyi simwende mkauze huko Russia makorosho!!!kitu ni hiki Russia economy is failing,tutaona mutafika wapi!!!!kafwateni Russia mwache kujifanya eti mmeabstain!!
 
Hii maana yake hukubaliani na "Motion on the table", agenda iliyowakilishwa ni kupata kura za ndio ili kulaani Urusi, Kitendo cha kutopiga kura ni kutaka kuhakikisha kwamba 2/3 ya kura za ndio hazipatikani. The smart way of saying No"
Upo vizuri Sana kumkichwa.
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Sisi ni kenge tu kwenye msafara wa mamba
 
kwendraaah[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Sasa tulichokua tukiuza Ukraine Russia watanunua??
"Utige ufudhi kimushakwe giki!"
Sisi tunaenda na ambao tunaelewana,haya nyinyi simwende mkauze huko Russia makorosho!!!kitu ni hiki Russia economy is failing,tutaona mutafika wapi!!!!kafwateni Russia mwache kujifanya eti mmeabstain!!
Jambo linalotofautisha Kati ya wanyama na binadamu ni "Uhuru wa kujiamulia Mambo yake", tofauti kati ya watumwa na watwana ni "Liberty".

Ukiona unathamini Mali/biashara zaidi kiasi cha kufuata kila kinachofanywa na tajiri, wewe ni sawa na Malaya.

Kuwa huru kwa gharama yoyote Ile, wacheni kuwa wanyonge na kufuata kila wanalosema matajiri, yaani unaunga mkono nchi kwasababu ya kuogopa kupoteza biashara?, Hiyo sio Tanzania tuliyoachiwa na baba wa Taifa.
 
Hiyo heading kaandikiwa nani?

Ongera mod's wamekuacha maana tunajua Tanzania haijaweka wazi ipo upande gani Yes or No?.
 
Jambo linalotofautisha Kati ya wanyama na binadamu ni "Uhuru wa kujiamulia Mambo yake", tofauti kati ya watumwa na watwana ni "Liberty".

Ukiona unathamini Mali/biashara zaidi kiasi cha kufuata kila kinachofanywa na tajiri, wewe ni sawa na Malaya.

Kuwa huru kwa gharama yoyote Ile, wacheni kuwa wanyonge na kufuata kila wanalosema matajiri, yaani unaunga mkono nchi kwasababu ya kuogopa kupoteza biashara?, Hiyo sio Tanzania tuliyoachiwa na baba wa Taifa.
hii dunia ya leo haitaki uwe na ugumu mingi sana kwa mambo ambayo hayana faida,sasa Wwe unaunga mkono Russia kumvamia ukraine na utakuta kuna watanzania waliokuwa wakisomea ukraine,wakiishi uko,wakioa\Wakiolewa huko na kitu muhimu zaidi *wakifanya biashara huko!sasa hiyo soko imeharibika!!kwaajili ya Putin watu wanahangaika!
Heri niwe "malaya" kama ulivyosema kuliko niwe "Mchawi"unaroga mpaka watu wako kwaajili ya upuzi,uchoyo na ushamba!!!

Kenya ilikuwa ikiuza vitu kama chai,kahawa,maua,Avocado,na zengine mengi!sasa hayo yatauzwa wapi???
Watoto watasomea wapi tena waliokuwa wakisomea Ukraine??
Madada wa Ukraine finefine wadosi waliokuwa wakitupumbaza na tunaoana,tukichapa vitu!!😬tutafanaje tena walai!!!???

Russia inanisaidia vipi mie,ama wwe???
Russia pesa yake inaenda kupoteza nguvu kama venezuela!!! Sasa hivi!!
Russia ni bure Kabisa!!!

Siwezi kumsupoti Russia na kazi yake ni kuuzia magaidi masilaha!!siku watauzia watanzania mtaona cha mtema kuni!!
 
hii dunia ya leo haitaki uwe na ugumu mingi sana kwa mambo ambayo hayana faida,sasa Wwe unaunga mkono Russia kumvamia ukraine na utakuta kuna watanzania waliokuwa wakisomea ukraine,wakiishi uko,wakioa\Wakiolewa huko na kitu muhimu zaidi *wakifanya biashara huko!sasa hiyo soko imeharibika!!kwaajili ya Putin watu wanahangaika!
Heri niwe "malaya" kama ulivyosema kuliko niwe "Mchawi"unaroga mpaka watu wako kwaajili ya upuzi,uchoyo na ushamba!!!

Kenya ilikuwa ikiuza vitu kama chai,kahawa,maua,Avocado,na zengine mengi!sasa hayo yatauzwa wapi???
Watoto watasomea wapi tena waliokuwa wakisomea Ukraine??
Madada wa Ukraine finefine wadosi waliokuwa wakitupumbaza na tunaoana,tukichapa vitu!![emoji51]tutafanaje tena walai!!!???

Usiwe kilaza,
Watanzania wanaosoma Russia ni hundreds of them, of course wapo wanaosoma Ukraine ni wengi pia,
Abstaining is the wisest decisions, meaning that we are not taking sides, let Russia and Ukraine solve their shit out, Kwani kuna ugumu gani hapo?
No one need war madness nowadays,
Sasa kuwa na kihehehere kama Kunyaland kufuata mkumbo wa uingereza ni upumbavu mwingine,
Majority don’t know the root cause of this dispute , so as the leaders of that Banana republic of a Kunyaland.
Yaani Kenya inapopelekwa inaenda tu kama Ng’ombe,
China ni nchi ya kijamaa inayofadhili miradi karibu yote Kunya, including food donations, but still Kunya can’t make a wise decision on this sababu ya kupapatikia wazungu wa NATO.
 
sisi Kenya hatuezi support mnyanyasaji wa livelive!!! Akiua na kuibia watu Nchi yao nzima!!!
Nyinyi TZ tangu enzi za kitambo mmekuwa mkisupoti madikteta beberuz!! Usijifanye mmeabstain kuvote! Na mko mmefuatana na tunawajua!hiyo kuabstain inamanisha "kukataana na mambo ya Ukraine na kukubaliana na Putin!!!" Kama Belarus na china!! Dictators!
Ile siku Tundu lisu atataka kugawanya nchi ya TZ pia sisi tuta abstain kuvote in AU!!!!my niggass😬😬😬
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Each has its place in history. And each, next to their name, must have an appropriate term. Vladimir #Putin is not the President of Russia. He is a dictator. Vladimir Putin is not a leader. He is a criminal. Vladimir Putin is not a man. He is a killer. #russia #ukraine
 
sisi Kenya hatuezi support mnyanyasaji wa livelive!!! Akiua na kuibia watu Nchi yao nzima!!!
Nyinyi TZ tangu enzi za kitambo mmekuwa mkisupoti madikteta beberuz!! Usijifanye mmeabstain kuvote! Na mko mmefuatana na tunawajua!hiyo kuabstain inamanisha "kukataana na mambo ya Ukraine na kukubaliana na Putin!!!" Kama Belarus na china!! Dictators!
Ile siku Tundu lisu atataka kugawanya nchi ya TZ pia sisi tuta abstain kuvote in AU!!!!my niggass[emoji51][emoji51][emoji51]

Kwaiyo kwa akili yako ya Kikunya Russia na China ni wanyanyasaji halafu Nato na US ni Saviors?
Hivi mbona wakunya hamnaga akili nyie ?
 
Hii maana yake hukubaliani na "Motion on the table", agenda iliyowakilishwa ni kupata kura za ndio ili kulaani Urusi, Kitendo cha kutopiga kura ni kutaka kuhakikisha kwamba 2/3 ya kura za ndio hazipatikani. The smart way of saying No"
Usitufanye wajinga, tumefuatilia mjadala...wameshauri panfe zote wakae mezani...hii ni kauli ya kimalaya ikiashiria tunawahitaji wote yaani Russia na mabeberu
 
Kushauri wakae mezani wayamalize umalaya unatoka wapi sasa hapo ,
Mbona mzee una akili ndogo sana,
Wewe nduguzo wakikosana huwezi hata kuwasuluhisha ?
Acha ufala basi?
Hapa kosa liko wazi kuwa Russia ni mkosaji.
Huwezi kuipangia nchi nyingine uhuru wake na wakiamua mambo yao unawavamia.

Tulipaswa kumkemea Russia lakoni tumeogopa kwasababu tunawahitaji.
 
A reason I said una uelewa mdogo.
My take: Siku zote ukiona ndugu zako wanagombana, wasikikize wote kila mmoja kwa nafasi, kisha ujifunze na kutoa hukumu ya haki, hiyo ndio inaitwa Hekima.
Kingine jaribu kujifunza, kichwa chako kina ubongo wenye seli na neurones nyingi sana, dont underutilize,
Jifunze mambo kisha uelewe mambo kwa mapana yake.
Kwa hapa umeonesha ni kiasi gani uko na ufinyu wa uelewa, Hekima ya chini kabisa na zero busara. Goodnight.
 
Usiwe kilaza,
Watanzania wanaosoma Russia ni hundreds of them, of course wapo wanaosoma Ukraine ni wengi pia,
Abstaining is the wisest decisions, meaning that we are not taking sides, let Russia and Ukraine solve their shit out, Kwani kuna ugumu gani hapo?
No one need war madness nowadays,
Sasa kuwa na kihehehere kama Kunyaland kufuata mkumbo wa uingereza ni upumbavu mwingine,
Majority don’t know the root cause of this dispute , so as the leaders of that Banana republic of a Kunyaland.
Yaani Kenya inapopelekwa inaenda tu kama Ng’ombe,
China ni nchi ya kijamaa inayofadhili miradi karibu yote Kunya, including food donations, but still Kunya can’t make a wise decision on this sababu ya kupapatikia wazungu wa NATO.
Kenya wanafikiria kuwa kimbelembele kwenye hili kutasaidia kubadilisha hukumu ya ICC dhidi ya uvamizi Somalia!
 
hii dunia ya leo haitaki uwe na ugumu mingi sana kwa mambo ambayo hayana faida,sasa Wwe unaunga mkono Russia kumvamia ukraine na utakuta kuna watanzania waliokuwa wakisomea ukraine,wakiishi uko,wakioa\Wakiolewa huko na kitu muhimu zaidi *wakifanya biashara huko!sasa hiyo soko imeharibika!!kwaajili ya Putin watu wanahangaika!
Heri niwe "malaya" kama ulivyosema kuliko niwe "Mchawi"unaroga mpaka watu wako kwaajili ya upuzi,uchoyo na ushamba!!!

Kenya ilikuwa ikiuza vitu kama chai,kahawa,maua,Avocado,na zengine mengi!sasa hayo yatauzwa wapi???
Watoto watasomea wapi tena waliokuwa wakisomea Ukraine??
Madada wa Ukraine finefine wadosi waliokuwa wakitupumbaza na tunaoana,tukichapa vitu!![emoji51]tutafanaje tena walai!!!???

Russia inanisaidia vipi mie,ama wwe???
Russia pesa yake inaenda kupoteza nguvu kama venezuela!!! Sasa hivi!!
Russia ni bure Kabisa!!!

Siwezi kumsupoti Russia na kazi yake ni kuuzia magaidi masilaha!!siku watauzia watanzania mtaona cha mtema kuni!!
Ninyi wakenya toka enzi za ukombozi wa Africa mlikua hamtaki kusaidia waafrika, siku zote ninyi ni watu wa kuegemea USA na UK, lakini mkipata matatizo ya kiuchumi mnakimbilia Uchina

Sisi ni dira ya Africa toka zamani, Tanzania ndio "benchmark" ya "political direction" hapa Afrika, ninyi ni Malaya wa nchi za Magharibi miaka yote.

Jambo Moja ambalo lipo wazi ni kwamba, hujui hata unalozungumza, onyesha "trade volume Kati ya Afrika na Urusi vs Ukraine, onyesha idadi ya wanafunzi wanaosoma Urusi vs Ukraine, onyesha idadi ya watalii wanaokuja Africa Kati ya Urusi vs Ukraine, Kama kawaida yenu hamjui lolote zaidi ya kupiga makelele.
 
Back
Top Bottom