UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi

Rudi shuleni ndugu yangu, its never too late. Unavyojadili haya masuala ni aibu tupu, kwenye enzi hizi kuitwa 'drop-out' sio sifa hata kidogo. Acha uhuni jombaa, masomo unaweza ukayaendeleza hata 'online'. Tena kwa gharama ambayo itakuwa nafuu kwa 'idler' kama wewe.
 
Ndio maana nilikuambia kwamba unakariri tu kwa chuki zako, huna 'facts'. Eti Kenya haijafanikisha operation hata moja Somalia? Sasa hivi kusini mwa Somalia kuna amani, kisa vikosi vya Kenya. Kenya ilifanikiwa kuuteka mji wa Kismayu, mji ambao haukuwa umedhibitiwa na vikosi vyovyote vya kigeni, tangia enzi za wazee wa Ndemi na Mathati.

Leo hii eneo la Jubaland, nchini Somalia, limeanza kunawiri na kupata maendeleo ya kweli, kwasababu ya vikosi vya kijeshi vya Kenya. Kuhusu hizo mission zingine ulizozitaja sidhani kama kuna nchi nyingine ukanda huu, ambayo imekuwa na ufanisi mkubwa zaidi ya Kenya. Kumbuka kwamba Kenya sasa hivi ina vikosi vyake DRC, kabla ya hiyo S.Sudan. Ndio hii orodha ya mission zote ambazo vikosi vya Kenya vimehusika. Kutoka Bosnia, East Timor hadi Cambodia.
 
Hii maana yake hukubaliani na "Motion on the table", agenda iliyowakilishwa ni kupata kura za ndio ili kulaani Urusi, Kitendo cha kutopiga kura ni kutaka kuhakikisha kwamba 2/3 ya kura za ndio hazipatikani. The smart way of saying No"


The smarter way is to vote "NO" than not not to Vote.
 


Kwa Kenya ni "Mkono mtupu haulambwi", kwa Tz ni "ubinadamu kwanza".

You either side with materials or humanity.-----🤣🤣
 


Ni kidogo sana unachojua juu ya siasa za ndani kwa ndani za dunia, hasa siasa za NATO na Russia, Russia anazijua mno siasa za NATO na mikakati yao na hadi kachukua hatua ya kuivamia Ukraine huo ni Uamuzi Mgumu kwa Russia na hakukuwa na njia mbadala wa hiyo.
 
Ningekuwa rais wa Tanzania mimi ningepanga strategy ya kuwavutia mabeberu Tanzania


Wala hujui usemacho, kauli yako ni sawa na mtu aseme; "Ningekuwa Rais wa Kenya mimi ningepanga strategy ya kuwavutia WEZI kenya"🤣🤣

Is it sensible??!, au hujui maana ya neno beberu??!.
 


Huyo akili hamna kabisa sio kisoda, hakumbuki kwanini waliibuka akina Martin Luther king jr, akina Malcom X huko Marekani, hajui walifanya harakati gani na kwanini waliuawa!!?---- yeye hajui kwamba Mabeberu ni nyoka toka zama zile hadi leo hii.
 
Ninauwezo wa kukusomesha hadi update PhD, hujui kitu zaidi ya kelele tupu, wakenya wengi uwezo wenu wa akili ni mdogo, hamna uwezo hata wa kujilisha, mnategemea kuomba chakula cha msaada
 
Wacha porojo wewe, KDF walishindwa South Sudan hadi Ban Ki moon akamtimua kazi kamanda wa KDF, Kenya ikakasirika ikaondoa jeshi lake, katika historia ya UN, Kenya ndiyo nchi pekee kushindwa kufanya majukumu ya kulinda Amani hadi kusababisha kufukuzwa.

Kuhusu Somalia, huko ndio kielelezo cha udhahifu wa KDF, kumbuka KDF walikwrmenda Somalia ili kuzuia Alshabaab kushambulia Kenya, sio kuteka Kismayo, tangu KDF kuingiza Somalia, Alshabaab wameongeza mashambulizi kwa Kenya kuliko kabla ya KDF kuingiza Somalia.
 
Ninauwezo wa kukusomesha hadi update PhD, hujui kitu zaidi ya kelele tupu, wakenya wengi uwezo wenu wa akili ni mdogo, hamna uwezo hata wa kujilisha, mnategemea kuomba chakula cha msaada
Aah wapi, acha kujimwambafy wewe rudi shuleni. Usione aibu utawapata wenzako huko wakipambana na syllabus level yako, shule ya upili.
 
Unapoiwekea vikwazo Russia pamoja na mapungufu yake uangalie pia vikwazo hivyo vinamuumiza nani. The common mwananchi wa Russia ndie atakaye suffer hawa viongozi vikwazo havitawaumiza sana.
Hasa ndio lengo kukukosanisha na wananchi wako
 
Unapoiwekea vikwazo Russia pamoja na mapungufu yake uangalie pia vikwazo hivyo vinamuumiza nani. The common mwananchi wa Russia ndie atakaye suffer hawa viongozi vikwazo havitawaumiza sana.
Lengo ni kumpa mbinyo wa ndani na nje.
Wananchi wakianza kukosa imani naye lazima abadili mtazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…