UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi

UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi

Mbona waafrika tusichimbe sisi wenyewe?
Hapa tunategemeana . sisi afrika
Tuna utajiri wa maliasili tuliobarikiwa na Mungu.
wazungu wana teknolojia.
Kuchimba inahitaji teknolojia ya hali ya juu.
 
f**ks[emoji90] huyu nugu putin keshalipuwa nuclear power plant sahii,nikuwaka inawaka moto sahii!!!
Shinda hapo blabalabla nanakuambia he is MAD!!![emoji90][emoji51]
Sasa inaonekana ata hajali dunia ama maisha ya ukrainians ama rushians!pia hajali maisha ya watanzania kama wwe![emoji90][emoji108]


Ata ukiniambia mara ngapi sjui US ni wabaya Know that Putin is worst!!
Yeye mwenyewe ndiyo anakulisha magaidi na terrorist wa Afrika masilaha haramu[emoji90]f**ks
Leo ni leo iyo nuclear power plant ikilipuka dunia yote itamkujia Putin kichwa yake na ya jeshi yake haramu!![emoji51][emoji90]
He is a mudderer and a criminal!!Fullstop[emoji90]
It so painful reading this guy's comments he is dumb as https://jamii.app/JFUserGuide!
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Ndio kugoma kupiga kura(abstain) ni kitu bora sana na ukiangalia nchi za kijamaa ikiwemo India, China,Cuba,Tanzania,Zambia etc na baadhi za kibepari kama South Africa etc zimeonyesha msimamo mzuri kwa kutokufuata mkumbo wa magharibi. Viva Tanzania, Viva Russia, Viva all Abstained Countries
 
MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.

Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Urusi katusaidia nini watanzania zaid ya kusomesha madaktari? USA analipia dawa za ARV na TB
 
wwe unajiona mjanja kwa kusupoti Putin kuuwa raia wa Ukraine,kuinyakua Ukraine nchi nzima na kudistabilize uchumi na amani ya dunia!!!Russia will pay na kama hutaki kuskia enda ukamwoshe miguu putin!!!mwokozi wako!![emoji90]
Kama haya mambo hayajaafect Tanzania basi nyinyi mko mnaishi kwenye Moon!!
Putin apigani vita anafanya operation ya kijeshi.
Angekua anapigana vita basi mpakasasa maelfu ya Waukrein wangekua wame uwawa
 
Kama utakumbuka miaka ya nyuma mara tu baada ya Tanzania kupata uhuru, West Gernamy ilimlazimisha Mwalimu Nyerere kufunga balozi za East Germany na kuvunja uhusiano na East Germany, badala yake Nyerere alifunga ubalozi wa West Germany na kurudisha pesa zote za misaada zilizotolewa na West Germany kwa Tanzania(Kamwe hatuwezi kuuza Utu na utaifa wetu kwa vipande vya fedha).

Tofauti Kati ya Kenya na Tanzania ipo wazi kabisa, Kenya mnaabudu Mali, mpo tayari kuuza Utu wenu kwa ajili ya oesa6, ndio sababu mlikataa kushiriki ukombozi wa nchi za Afrika kwa kuhikomba kwa wazungu ili mpate pesa, Leo hii wazungu wamewaacha hawana habari na ninyi mnaanza kuhikomba kwa wachina, nini hamna heshima hapa Afrika kutokana na tabia yenu ya kimalayamalaya
[emoji23][emoji23][emoji23]

"Tabia za kimalaya malaya hivi".

Nyerere alitisha sana.
 
1 rushian ruble=1.08 Kenyan Shilings

42 rushian ruble=1Tunissian Dinnar!!!!
😕
 
oparesheni gani???uyo anataka kuiba mali ya wenyewe!
Matter of national security

Hiyo Matter of national security ndio ilio tumika Iraqi, Libya, Afrighanistani,Yugoslavia na Syria.
Ila mulikua munakenua meno tu,
 
Kati ya Tanzania na Kenya ni nchi gani iliyowasaliti waafrika kipindi cha ukoloni na kuwasaidia wazungu kuwakandamiza waafrika?[emoji28][emoji28][emoji28]

Leo nadhani kila kitu kiko wazi. Wakati wengine wakilalamika kubaguliwa. Wengine wasindikizwa kwa heshima kubwa.
 
Matter of national security

Hiyo Matter of national security ndio ilio tumika Iraqi, Libya, Afrighanistani,Yugoslavia na Syria.
Ila mulikua munakenua meno tu,
National security kwani ni Nchi yao,si wafanye hivo kwao Russia!!
Kwani Ukraine waliwafanya nini?? Ivo mnavyoshabikia Ukraine watu wake wakitatizika ivo ivo namwomba Mola iwangukie nyie pia kwa hali tofauti!!!
Mcheka kilema hufa mwenyewe!!!
 
Sasa kenye nashangaa sasa Tanzania itafanya biashara aje na Russia😂😂😂na hio summit yote kwanza airlines hakuna kwenda Russia!
Ngoja tuone EU zikianza kusummit nchi zinazoitikiana na Russia,tutaona TZ itaishia wapi?😕EU ndio hununua bidhaa nyingi za Africa na dunia nzima!
Nangoja tu movie Kenya tushajiset pazuri👌
Tanzania na mambo ya kushabikia ujinga mtajua amjui!!!!
EU itatupendelea wanaoendana kimawazo na vitendo🔥🔥
 
National security kwani ni Nchi yao,si wafanye hivo kwao Russia!!
Kwani Ukraine waliwafanya nini?? Ivo mnavyoshabikia Ukraine watu wake wakitatizika ivo ivo namwomba Mola iwangukie nyie pia kwa hali tofauti!!!
Mcheka kilema hufa mwenyewe!!!
Uliza ujifunze wacha kupiga kelele utaendelea kubali kuwa mjinga, USA alipokataa Urusi kuweka makombora yake ya Nuclear Cuba mwanzoni mwa miaka ya 1960"s, kwa kisingizio hichohicho cha "National security", kwani Cuba ilikua ni nchi Yao?
 
Sasa kenye nashangaa sasa Tanzania itafanya biashara aje na Russia[emoji23][emoji23][emoji23]na hio summit yote kwanza airlines hakuna kwenda Russia!
Ngoja tuone EU zikianza kusummit nchi zinazoitikiana na Russia,tutaona TZ itaishia wapi?[emoji53]EU ndio hununua bidhaa nyingi za Africa na dunia nzima!
Nangoja tu movie Kenya tushajiset pazuri[emoji108]
Tanzania na mambo ya kushabikia ujinga mtajua amjui!!!!
EU itatupendelea wanaoendana kimawazo na vitendo[emoji91][emoji91]
Punguza ujinga wako wewe, unadhani haya Mambo yameanza Leo?, Uliza kipindi cha "cold war" ninyi mlipoegemea "West" na sisi tulipoegemea"East, nchi nyingi za Ulaya zilijaribu kututisha na baadhi kukata mahusiano ya kibiashara na sisi, mbona tulifanikiwa kuvuka hicho kipindi?.

Sasa hivi China anazo nguvu za kiuchumi kuliko hao mabwana zenu, biashara na China, SADC , India, EAC na nchi zingine zisizounga mkono kujikomba kwa wazungu Kama ninyi, ni muhimu kwetu kuliko hizo nchi mnazoziabudu.

Ngoja tuone Kama China nayo itaamua kutofanya biashara na Kenya, nchi yenu inaitegemea China kwa kila kitu, hadi chakula cha misaada
 
kwendraaah[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Sasa tulichokua tukiuza Ukraine Russia watanunua??
"Utige ufudhi kimushakwe giki!"
Sisi tunaenda na ambao tunaelewana,haya nyinyi simwende mkauze huko Russia makorosho!!!kitu ni hiki Russia economy is failing,tutaona mutafika wapi!!!!kafwateni Russia mwache kujifanya eti mmeabstain!!
Katika nchi zote Africa
Ni balozi wenu tu(sijui nani ) huko UN ndo ameropoka,umesikia Nchi nyingine yoyote ya Africa kuropoka kama ninyi openly,
Dunia hii ni ya kukaa kimachale mtakuja aibika Kwa huu upumbavu wenu.
 
National security kwani ni Nchi yao,si wafanye hivo kwao Russia!!
Kwani Ukraine waliwafanya nini?? Ivo mnavyoshabikia Ukraine watu wake wakitatizika ivo ivo namwomba Mola iwangukie nyie pia kwa hali tofauti!!!
Mcheka kilema hufa mwenyewe!!!
Nimekutajia Mfano wa nchi Kazaa zilikumbana na hiyo inshu.
Na aliefanya hivyo Marekani Mlikua munakenua meno tu sasa ngoma imegeukia kwenu munahaha kama Mbwa.
Tulieni dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom