eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ndio mtaendelea kuwa masikini wa kutupwa kwa akili maji kama hizi. Wewe msikilize ndugu yako Geza Ulole anavyokueleza kwamba the West wana nguvu sana. Wanaweza kupitisha pipeline kwingine. Isitoshe kwa sababu Europe wameanza kukataa kutumia gas ya Russia nchi kama Germany zinatafuta mahali pengine pa kupata gas. Huu ndio wakati bora wa Tanzania kujisongeza karibu na mabeberu ili muweze ku-commercialize gas yenu. Hio gas yenu inaweza kufanya muwe tajiri ukanda huu, gdp yenu inaweza kudouble ya Kenya chini ya miaka 15.
Wewe huna akili ya strategy. Huna akili ya kupiga karata, you are not a strategist. Wakati huu ni wakati wa Tanzania kujikomba kwa wazungu na hata kuondoa vikwazo vingi ili kuwavutia waje kuchimba gesi na kujenga Lng plant huko. Muondoe vikwazo kama taxes muwape tax holiday ili waje wajenge kisha muanze kuwatoza kodi pindi production itakapoanza. Ningekuwa rais wa Tanzania mimi ningepanga strategy ya kuwavutia mabeberu Tanzania badala ya kujifanya kwamba ninasimama na Urusi. Wacha akili za ujamaa, wakati wa cold war ulishakwisha. 21st century tupo kibiashara zaidi.
sisi ni NAM. hatuko upande wowote. Hatufurahii kuhujumiwa kwa yeyote. Huo ndiyo msimamo tangu mwanzo. Bora tukawa masikini, ambaye utu wake unaheshimiwa. Kuliko kuwa tajiri ambaye hana utu wala thamani. Siku zote tumetanguliza UTU kuliko VITU. Ndiyo maana waTanzania ni waTanzania. Tuko kama tulivyo.