UN - Tusidanganyane, kama Taifa Tulipwaya

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.

Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.

Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.

Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?

Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.

Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.

Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?

Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?

Hatuna neno lolote kuhusiana na vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?

Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!

Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?

Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?

Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.

Ama kwa hakika hatukufua dafu!
 
Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.

Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.

Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.

[

Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?

Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda zao. Huko walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.

Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.

Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tunataka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?

Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?

Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?

Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!

Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?

Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?

Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.

Ama kwa hakika hatukufua dafu!
Hivi kuomba ruhusa ya kutengeneza VACCINE - COVID-19, tunajiona wajuaji sana nini?
_114241106_vaccineillus976_rtrs-1.jpg
covid-19-vaccine-vial-1.jpg
 
Kama waandaaji wa hotuba za ndani ndio hao wanaomuandalia za nje sishangai kuona mawazo yao ya kijima wanayowadanganya wengi wasiojielewa hapa ndani wakipeleka nje wakadhani wanawadanganya na wazungu pia.

Bado hotuba za viongozi wetu zimejaa propaganda zisizo na maana toka kwa kiongozi wa nchi masikini kama yetu.
 
Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.

Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.

Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.

Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?

Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.

Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.

Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?

Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?

Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?

Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!

Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?

Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?

Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.

Ama kwa hakika hatukufua dafu!

Wewe huwa unawasifia mpaka unatia huruma wakati ukijua kabisa wale ni watafutaji kwa manufaa binafsi.

Rejea ajenda zako za awali i;lizojitabanaisha ukiwa kwenye kampeni za uchaguzi kwa Lissu
 
Ukipata nafsi sikiliza hotuba ya Rais wa Ghana. Then sikiliza na hotuba ya Rais wa Zambia. Hizi ndo hotuba best kwako kati ya nilizo zisikia ndani ya UNGA 2021.
 
Wewe huwa unawasifia mpaka unatia huruma wakati ukijua kabisa wale ni watafutaji kwa manufaa binafsi.

Rejea ajenda zako za awali i;lizojitabanaisha ukiwa kwenye kampeni za uchaguzi kwa Lissu

Tunawasifia nani? Tunarejea hewani?

Weka rejea hapa!

Hukuwahi kusikia -
Wacha maneno weka Muziki!

Tunamsifu mtu kwa matendo yake na kumnanga kwa matendo yake vile vile.

Tanzania ya huyu:

IMG_20210925_164506_549.jpg

Ni kujidanganya mno kudhani kuwa ni hii hii:

IMG_20210925_164121_485.jpg
 
Ninachofurahia hapa ni uhuru wa kujieleza bila kua na hofu ya post yako kufutwa au uzi mzima utafungiwa

Awamu ya mwendazake ilikua ni marufuku kwa mtu kuwa na mawazo huru na kuyatoa hadharani kama hivi

Kufutwa au kufungiwa kwa kosa lipi?

Ukweli kwani hauko wazi?

Hatukuwa tumejiandaa!

Kwani wahenga walikosea?

"There's always next time."
 
Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.

Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.

Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.

Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?

Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.

Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.

Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?

Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?

Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?

Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!

Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?

Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?

Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.

Ama kwa hakika hatukufua dafu!

Ushindi ni Tanzania kushirikiana na mataifa mengine. Rais wa nchi kutokuwa na woga wa kujenga hoja na kuhutubia mataifa yenye nguvu za kiuchumi na kijeshi. Kusimama pale mbele - Umoja wa mataifa si kazi ndogo. Kuna Marais wengi wamegwaya kufika pale mbele- kuzungumza na kueleweka. Pale U.N. hupangiwi nini uzungumze, Tanzania sio Taifa kubwa. Nilimsikia Rais wa marekani akizungumzia uviko-19, haki za binadamu , usambazaji wa dawa za covid , vyote hivi havina tofauti sana na vitu anbavyo Rais Samia alizungumzia. Kongole kwake Rais Samia kwa kuonyesha kuwa Watanzania sio waoga na ni watu wanaojiamini. Kwanini Rais Samia mnataka kupangia kila kitu- azungumze hiki, afanye kile?
 
Tanzania ilishapoteza ushawishi iliyokuwa nayo enzi hizo, siku hizi imebaki tu "One of those shithole countries with no any international influence famous only for human rights abuses".
 
Labda kama una maana wale ambao hawakuwahi kutia mguu pale hali walikuwa nafasi hizo kumbe ilikuwa ni kwa sababu ya kuufyata?!

😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!

Ikumbukwe hotuba huandaliwa na wataalamu bila kudunisha mchango na matakwa ya mtoa hotuba mwenyewe.
 
Tanzania ilishapoteza ushawishi iliyokuwa nayo enzi hizo, siku hizi imebaki tu "One of those shithole countries with no any international influence famous only for human rights abuses".
Change your mindset,Tanzania is not a shithole country,may be your mind has full of darkness,I welcome you to the light.
 
Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.

Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.

Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.

Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?

Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.

Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.

Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?

Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?

Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?

Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!

Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?

Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?

Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.

Ama kwa hakika hatukufua dafu!

Tulipwazwa na Sululu.
 
Change your mindset,Tanzania is not a shithole country,may be your mind has full of darkness,I welcome you to the light.

Ya Adamoo, Kingai, Mahita na mwenzao tumeyasikia:

IMG_20210925_211919_345.jpg

Fikiria nchi inayofanya komando wake aliyeipigania hivi.

Abuse of human rights, lack of democracy, use of iron fists to suppress dissenting opinions, rigging of elections, etc qualify a country - a Shit hole.

Shit holes are real, neither mindsets nor illusions.
 
Back
Top Bottom