UN - Tusidanganyane, kama Taifa Tulipwaya

Ngoja tuone...

Pole pole tutaelewana tu. Ujumbe umefika - rais mwanamke siyo dili ki hivyo.

Hata makamu wa rais mwanamke aliyepiga simu kumpongeza enzi hizo tuko vizuri (kabla ya siku 100), leo hii hana habari tena naye.

Madai ya uchumi bila demokrasia ni bure:



Kwani kiko vipi North Korea kwa bwana kiduku?
 
Acha kukariri unapoteza uelekeo. Kila Rais kwa niaba ya nchi yake anaelezea hoja zake nyeti ambazo ni current kama mwanachama wa UN.

Huwezi kusimama pale ukaongea mambo ya nchi nyingine ili iweje.

Wapinzani wa Rais SSH mtakufa kwa kihoro, Mama Anaupiga Mwingi tu
 

Unajikakamua?

Yetu yenye copyright zetu yalikuwa haya:


Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Huu ni zaidi ya unyama
 
Umechemsha! Chanjo hatupewi bure!! Zile milioni moja toka marekani ilikuwa ni chambo tu!! Hivi hujasikia yale mabilioni yaliyotengwa kwa ajili ya kuagiza chanjo? Ni kwamba unakopeshwa pesa halalafu unanunua chanjo!! Chezea beberu weye!! Tutalipa hadi vitukuu wetu watalipa!! Beberu siyo mtu!!! Anakuuzia channjo ambayo keshakiri kabisa kuwa haina uwezo wa kukukinga usiambukizwe!!! Mbaya zaidi hanjo moja wala mbili hazitoshi!! Inahitajika booster ya mara kwa mara!! Inabidi akili iende likizo kwanza ndio uweze kuthubutu kusema kuna value for money kwenye chanjo!!
 

Aliimba mzee Makassy:

"Oh yaya mlisema sema sana. Mlisema nahama muji mimi mbona sihami!"

Abarikiwe sana Mzee Makassy.

Hivi umeshachanjwa lakini jombi au ni ule mdomo mrefu mrefu tu wa kijuaji ujuaji kama wa huyu hapa?



Pesa ipi amekopeshwa nani kununulia chanjo?

Mengine haya pelekeni Chatto na Makunduchi huko watawaelewa. Huku nduguzo japo mmoja umemwona kupita au hata kwa kuhanja hanja?

Eti mikopo ya covid-19 waulize kina Madelu walivyo omba kwa kupiga magoti na kushangilia juu walipoipewa.

Jiwe aliwapata nyie tu endeleeni na nadharia zake.

Hiiiiii bagosha!
 
That's your own perception that should not necessarily reflect others.
So where is a line to base to,my perceptions and your perceptions seem not to be the same,where can we find the truth?
 
Rais wetu ni kilaza, Chanjo tutazinunua hadi tufulisike, Kila baada ya miezi 6 au mwaka lazima uchome chanjo tena katika maisha yako yote
 
Ninachofurahia hapa ni uhuru wa kujieleza bila kua na hofu ya post yako kufutwa au uzi mzima utafungiwa

Awamu ya mwendazake ilikua ni marufuku kwa mtu kuwa na mawazo huru na kuyatoa hadharani kama hivi
Acha uongo wako. Lini watu wamechangia humu thread zao zikafutwa. Labda kama wewe ni mgeni kwenye hili jukwaa.
 
Acha uongo wako. Lini watu wamechangia humu thread zao zikafutwa. Labda kama wewe ni mgeni kwenye hili jukwaa.
Yawezekana wewe ukawa mgeni humu. Awamu ya mwendazake thread za kumchambua Jiwe kwa uwazi kama anavyochambuliwa mama sasa hivi hazikudumu

Hata kwenye forums na platform zingine watu wote waliufyata. Kama sio kujipendekeza wakasifia na kuunga mkono juhudi basi walikaa kiiimyaaaa wakiugulia moyoni

Juzijuzi ndio kina Jenerali Ulimwengu wameanza kusikika tena na chambuzi zao za wazi. Na hata jana Deus Kibamba kaongea kwa uwazi kuhusu katiba na kasoro zake kitu ambacho hakuweza kwenye wakati wa awamu ya yule mungu wenu
 

Basi awamu ile kulikuwa na udikteta kweri kweri.

Kazi ile bora isiendelee.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…