UN: Viongozi wa Jeshi wanaopigana Sudan hawana nia ya kumaliza tofauti zao

UN: Viongozi wa Jeshi wanaopigana Sudan hawana nia ya kumaliza tofauti zao

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023.

Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN amedai kuwa mwendelezo wa mapigano umefika hatua mbaya na kutoa wito wa kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia nchini humo.

Ametoa wito Majenerali wanaopigana Abdel Fattah al-Burhan anayeongoza Jeshi la Serikali na msaidizi wake wa zamani Hamdan Dagalo anayeongoza Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kukutana uso kwa uso kuzungumza kuhusu tofauti zao.

===========

Sudan generals unwilling to end fighting - UN

The UN's top aid official has warned that the "will to end the fight still was not there" after speaking to Sudan's rival military leaders.

Martin Griffiths told the BBC that Sudan's descent into violence was now at a dangerous tipping point.

He called for security guarantees from the warring sides to allow humanitarian aid into the country.

The UN warns that the fighting could force hundreds of thousands of Sudanese to flee their homes.

In a BBC interview hours after his visit to Port Sudan, Mr Griffiths spoke bluntly of what he called "the rigid existential fact that those at war are keen to keep it going".

During his time in Sudan's largest port, now a major evacuation and humanitarian hub, he had separate telephone conversations with Sudan's rival generals.

Mr Griffiths, the UN Under-Secretary-General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator, called for their clear public commitments to guarantee urgent deliveries of aid.

"This is about specific protections for the movement of aid workers and goods and supplies - going down roads at certain times, airlifts from being shot down," he emphasised when we sat down in the Saudi port city of Jeddah across the Red Sea from Sudan.

Evacuation ships now arrive daily at the port carrying foreigners and Sudanese, mainly with second passports, fleeing Sudan's sudden descent into rampant violence and wanton looting.

Mr Griffiths described how most of their warehouses storing humanitarian supplies had been looted. Six trucks in an aid convoy heading to the Darfur region were seized en route.

He asked for face-to-face meetings with both General Abdel Fattah al-Burhan, who heads Sudan's armed forces, and his former deputy General Hamdan Dagalo, who commands the rival Rapid Support Forces (RSF).

"I think it's obviously urgent, this should be done in the next day or so," he told us. "We're working on it."

Since 15 April, when the bombs first dropped and bullets flew in all directions, the rival leaders have agreed successive short ceasefires which have repeatedly been violated, especially in the capital Khartoum and the western region of Darfur, which are now war zones.

Mr Griffiths heard the same fine words in his telephone calls where "they were both, separately, very eloquent in their attachment to humanitarian principles and aspirations on the question of where and when we can meet".

Visibly shocked and saddened by what he had seen and heard, he spoke of "tales of traumatic atrocity... that are pretty unparalleled."

Source: BBC
 
Albashir amepotea katika mazingira ya kutatanisha, inasemekana hata jela alitoroshwa kitambo
 
Hao wameshiba Acha wabondane kwanza wakichoka watapatana. Vita umalizwa kwa vita
 
UN waache kiherehere na waafrica,
Mbona vita ya ukraine wako kimya mpk leo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tanzania tushukuru sana, mambo mengi tunayosoma na kuyatolea matamko kwenye mitandao ila huenda kuna familia huko zinatamani yoyote anayeweza kuja kusitisha vita aje visitishwe.
 
Tuache visingizio, huu wote ni ujinga wa waafrika kila siku kupenda tu vurugu.

Mtu anataka atawale watu kwa nguvu na hatutaki kukubali kwamba madaraka inatoka kwa wananchi na ni wenyewe ndio wana haki ya kuamua nani awe kiongozi wao jambo ambalo watu sampuli ya hawa wasudan wawili hawataki kukubali kisha eti wanatafuta visingizio mara eti sijui Al Bashir mara Marekani. Ni ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom