UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

Ukongwe wako haujakusaidia kuondoa ujinga kichwani kwako..

Kwamba wapumbavu huwa hamzeeki au?
Ukiwa hivi kwa miaka zaidi ya 6 ijayo..utakuwa kopo tu kichwani. Akili zitaisha. Ila naamini utabadilika tu ndani ya mda mchache.

Huna point ila mitusi tu.
 
we don't need to consult anybody. The maasai should vacate the area and contrary to that excessive power will be used.
 
Ngoro ikijaa wamasai sababu wanazaliana mambo ni bambam kwenye vita vya utalii. Wanaendelea kupambana ndani ya miaka 50 kugeuza eneo ambalo lina sifa ya binadamu kuishi na mnyama kuwa eneo ambalo wanyama waliishi na binadamu. Uzuri JAMHURI IPO MACHO.
 
Hata kwenye hizo nchi nyingine UN wana nguvu na ushawishi mkubwa sana.
Ww unajua nchi ngapi ni wanachama wa UN?
Soma dada uelimike zaidi sio kukimbilia kukomenti JF ujinga wako.
Nguvu gani? Kwani msimamo wa UN ndio msimamo wa Nchi moja moja? Juzi tumepata pesa kutoka India Til.1
 
Hizi tafsiri za Kiswahili zinanitatanisha. Wao wanasema ni Kitengo au Jukwaa la UN la kinacholinda haki za Wakazi au makabili wa asili. Sasa hizi tafsiri za kusema ni Wataalamu zinapotosha.

 
Nenda kwa Ras Simba akakutafsirie.!
Hizi tafsiri za Kiswahili zinanitatanisha. Wao wanasema ni Kitengo au Jukwaa la UN la kinacholinda haki za Wakazi au makabili wa asili. Sasa hizi tafsiri za kusema ni Wataalamu zinapotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…