Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Vipi kuhusu matendo ya hao mnao waita wapenda demokrasia wa Magharibi na USA kwa Syria,Libya, Iraq nkPutin ni dikteta na mafia ambaye dunia inapaswa kumshukuru hatua kali za vikwazo vya kiuchumi.
All people are equal, but some are more equal than othersMbona kelele Kama hizi huwezi sikia pale USA na washirika wake wakivamia nchi za watu mfano Libya, Iraq nk kafanya Urusi basi Mambo ya humanity yameanza ,UN ni Kama mbwa Koko tu
Putin amerukwa na akili, kwa dunia ya sasa ni aibu kwa taifa kubwa kama Urusi kufanya hiki kinachoendelea huko Ukraine.Vipi kuhusu matendo ya hao mnao waita wapenda demokrasia wa Magharibi na USA kwa Syria,Libya, Iraq nk
Putin hawezi kubali silaha ziwekwe mlangoni kwake. Yupo tayari kwa lolote lakini sio kuwekewa silaha dirishani.Putin amerukwa na akili, kwa dynia ya sasa ni aibu kwa taifa kubwa kama Urusi kufanya hiki kinachoendelea huko Ukraine.
Raia wa Urusi ni lazima wachukue hatua ya kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili.
Kumbe Bush nae alirukwa na akili kuhusu Iraq na Obama kuhusu LibyaPutin amerukwa na akili, kwa dunia ya sasa ni aibu kwa taifa kubwa kama Urusi kufanya hiki kinachoendelea huko Ukraine.
Raia wa Urusi ni lazima wachukue hatua ya kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili.
Wakati Libya inavamiwa rais Wa marekan nae alilukwa na akili sindio? Kumbuka Iraq,,Sirya, na kwinginekoPutin amerukwa na akili, kwa dunia ya sasa ni aibu kwa taifa kubwa kama Urusi kufanya hiki kinachoendelea huko Ukraine.
Raia wa Urusi ni lazima wachukue hatua ya kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili.
Ila si aibu kwa marekani na ulaya sio, mlifurahi ilipopigwa Libya eeeePutin amerukwa na akili, kwa dunia ya sasa ni aibu kwa taifa kubwa kama Urusi kufanya hiki kinachoendelea huko Ukraine.
Raia wa Urusi ni lazima wachukue hatua ya kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili.
Kumbe UnconfirmedKichapo kinaendea, hongera Putin kwa kuondoa unafiki
Reports that a fleet of 20 [emoji1255] Ukraine's Bayraktar TB2s have been destroyed. (Unconfirmed) https://t.co/wnsCPv2R00
Huwa anashambulia taifa lolote na wapenda democrasia wanamwangalia ajaribu kwa Putin.Israel walikemewa???