Mkuu sijawahi kuamini ktk maisha ya kubahatisha...bahati na sibu.Mkuu na wewe una bet?, nipe hints kama betting sites nzuri, jinsi ya kubet n.k, nataka nijiunge na hili chama teh!!
Aaaah, nilidhani nilipokuona huku upo active kwenye hii mikeka, sijawahi ila kuna mtu ananishawishi sana.Mkuu sijawahi kuamini ktk maisha ya kubahatisha...bahati na sibu.
Ninaamnini ktk kufanya kazi na kubarikiwa tu. Nisamehe kwa hilo kaka
Nimeisoma post yako ya awali, kazi ni kwako mkuu, usije kumlaumu anayekushawishi kaa ukijua ni bahati nasibu mkuuAaaah, nilidhani nilipokuona huku upo active kwenye hii mikeka, sijawahi ila kuna mtu ananishawishi sana.
Hii figure mmmhMe ni mwendo wa buku tu ingawa mara ya mwisho kula ilkua tsh 9,9500/= mwaka jana toka cjawai tena kubet labda ligi ianze tena
Na unaliwa kila siku hahahah[emoji14]Bora niache Pombe kuliko kiacha KuBet yaaani ninavyopenda kuBet siwezi kuacha.
Dah mkuu hongera sana, mi nliishia game 9, daaah,.Unalala masikini unaamka tajiri..
Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..
Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha kushinda milioni 109+ jumamosi ya juzi kutoka kampuni moja hapa bongo.
Fanya hivi:
Weka pesa kubwa ya maana kwenye mechi tatu za uhakika.
Mechi zisizidi tatu.
Acha tamaa.. Watu wengi wana beti kimaskini.. Mtu anaweka jero, au buku... Anabeti mechi 16 ili apate 8,500,000/=.
Are you crazy????
Wewe umekua mungu kujua outcome ya mechi 16 zote???
Utaendelea kuliwa vi buku buku vyako milele amina.
Mie huwa naweka minimum 10,000 kwenye mkeka wa mechi za uhakika 3 tu.
Mfano juzi kwenye hitimisho la EPL. Niliweka 30,000 nikabeti over 2.5 mechi tatu tuu za Chelsea, Tottenham na Liverpool.
Nimevuta mkwanja wangu wa uhakika.
Hii perfect 12 niliyoshinda juzi huwa siipi sana kipaumbele..
Maana probability ya kushinda ndogo mno. Anyway, kwa kuwa ni buku tuu natakiwa niweke, basi huwa hainiumi kivile.
Juzi kama zali bana, mwanaume nimelamba M zangu 109+ na ushee..
Leo ndio naenda kuchukua huo mpunga wangu benki.
Hizo milioni 9+ ndio mtaji wa kubetia. Game tatu, natia mzigo wa laki 5.
Acheni kubeti kimaskini. Weka hela kubwa mechi tatu tu.
Ukiweka 10,000 unapata 70,000 una hasara gani hapo.
Hahaaa haaaa Bet Lost[emoji23] [emoji23]Na unaliwa kila siku hahahah[emoji14]
Mkuu nipo na Wema hapa anaomba namba yako, nimpatie?Unalala masikini unaamka tajiri..
Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..
Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha kushinda milioni 109+ jumamosi ya juzi kutoka kampuni moja hapa bongo.
Fanya hivi:
Weka pesa kubwa ya maana kwenye mechi tatu za uhakika.
Mechi zisizidi tatu.
Acha tamaa.. Watu wengi wana beti kimaskini.. Mtu anaweka jero, au buku... Anabeti mechi 16 ili apate 8,500,000/=.
Are you crazy????
Wewe umekua mungu kujua outcome ya mechi 16 zote???
Utaendelea kuliwa vi buku buku vyako milele amina.
Mie huwa naweka minimum 10,000 kwenye mkeka wa mechi za uhakika 3 tu.
Mfano juzi kwenye hitimisho la EPL. Niliweka 30,000 nikabeti over 2.5 mechi tatu tuu za Chelsea, Tottenham na Liverpool.
Nimevuta mkwanja wangu wa uhakika.
Hii perfect 12 niliyoshinda juzi huwa siipi sana kipaumbele..
Maana probability ya kushinda ndogo mno. Anyway, kwa kuwa ni buku tuu natakiwa niweke, basi huwa hainiumi kivile.
Juzi kama zali bana, mwanaume nimelamba M zangu 109+ na ushee..
Leo ndio naenda kuchukua huo mpunga wangu benki.
Hizo milioni 9+ ndio mtaji wa kubetia. Game tatu, natia mzigo wa laki 5.
Acheni kubeti kimaskini. Weka hela kubwa mechi tatu tu.
Ukiweka 10,000 unapata 70,000 una hasara gani hapo.
Bet lost daaah midadi inakupanda pale unapoingia online kutizama mikeka yako uliyosuka .Hahaaa haaaa Bet Lost[emoji23] [emoji23]
Hakuna hela haramu wewe nya......Ni haramu.
Hahaaa kuna wale wanaochana dk ya 90 na sekunde 52Bet lost daaah midadi inakupanda pale unapoingia online kutizama mikeka yako uliyosuka .
Mchezo mbay sana nashukuru niliacha mapema la sivyo saivi ningekuwa ICU ya kiuchumi
Ila mkuu, ukishaweka mkeka wako ni bora usubirie tu matokeo! Maana ukifuatilia mechi, lazima utakufa kwa presha...Bora niache Pombe kuliko kiacha KuBet yaaani ninavyopenda kuBet siwezi kuacha.
Kama umeweka stake itamayokupa faida ndogo utaweza kusubiri mbaya zaidi umeweka stake 150000 itakayokupa faida kam 1250000...mkuu live score ifamuhusu kila baada ya dk 5 [emoji23]Ila mkuu, ukishaweka mkeka wako ni bora usubirie tu matokeo! Maana ukifuatilia mechi, lazima utakufa kwa presha...
πππ Utakuwa na moyo wa chuma wewe! Mimi hata nikiweka stake ya sh mia tano, bado presha itapanda tu!Kama umeweka stake itamayokupa faida ndogo utaweza kusubiri mbaya zaidi umeweka stake 150000 itakayokupa faida kam 1250000...mkuu live score ifamuhusu kila baada ya dk 5 [emoji23]
The more risk you take, the more money you makeBetting sometimes its pay sometimes its bring more stress.
Kuna siku sikuwa na kitu kabisa isipokua 15000 tu na nina madeni kibao na posibility ya kupata hela ni baada ya wiki 2. Nikaamua liwalo na liwe nikaingia online nikabeti mara mbili 5000 na 10000 bet slip tofauti wa 5000 nikapigwa na wa 10000 ukanitatulia matatizo nikapata 680k baada ya hapo within 2 weeks league ziishe nishabamizwa 260k wakati mwingine niliweka 10000 nikiwa na shida ya 1.5 points kwa timu moja lakini nayo iligoma yaani tabu tupu.