Una beti upate hela ama kufurahisha nafsi.. Kama unataka upate hela niige mimi mshindi wa Perfect 12

Mkuu na wewe una bet?, nipe hints kama betting sites nzuri, jinsi ya kubet n.k, nataka nijiunge na hili chama teh!!
Mkuu sijawahi kuamini ktk maisha ya kubahatisha...bahati na sibu.
Ninaamini ktk kufanya kazi na kubarikiwa tu. Nisamehe kwa hilo kaka
 
Mkuu sijawahi kuamini ktk maisha ya kubahatisha...bahati na sibu.
Ninaamnini ktk kufanya kazi na kubarikiwa tu. Nisamehe kwa hilo kaka
Aaaah, nilidhani nilipokuona huku upo active kwenye hii mikeka, sijawahi ila kuna mtu ananishawishi sana.
 
Nimeisoma post yako ya awali, kazi ni kwako mkuu, usije kumlaumu anayekushawishi kaa ukijua ni bahati nasibu mkuu
 
Unalala masikini unaamka tajiri..

Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..

Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha kushinda milioni 109+ jumamosi ya juzi kutoka kampuni moja hapa bongo.

Fanya hivi:
Weka pesa kubwa ya maana kwenye mechi tatu za uhakika.
Mechi zisizidi tatu.
Acha tamaa.. Watu wengi wana beti kimaskini.. Mtu anaweka jero, au buku... Anabeti mechi 16 ili apate 8,500,000/=.
Are you crazy????

Wewe umekua mungu kujua outcome ya mechi 16 zote???
Utaendelea kuliwa vi buku buku vyako milele amina.

Mie huwa naweka minimum 10,000 kwenye mkeka wa mechi za uhakika 3 tu.

Mfano juzi kwenye hitimisho la EPL. Niliweka 30,000 nikabeti over 2.5 mechi tatu tuu za Chelsea, Tottenham na Liverpool.
Nimevuta mkwanja wangu wa uhakika.

Hii perfect 12 niliyoshinda juzi huwa siipi sana kipaumbele..
Maana probability ya kushinda ndogo mno. Anyway, kwa kuwa ni buku tuu natakiwa niweke, basi huwa hainiumi kivile.
Juzi kama zali bana, mwanaume nimelamba M zangu 109+ na ushee..

Leo ndio naenda kuchukua huo mpunga wangu benki.
Hizo milioni 9+ ndio mtaji wa kubetia. Game tatu, natia mzigo wa laki 5.

Acheni kubeti kimaskini. Weka hela kubwa mechi tatu tu.
Ukiweka 10,000 unapata 70,000 una hasara gani hapo.
Dah mkuu hongera sana, mi nliishia game 9, daaah,.

Naziwinda zile, acha tuuu,

Big up sana, vipi umchungulii sportpesa na jackpot yake
 
Unalala masikini unaamka tajiri..

Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..

Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha kushinda milioni 109+ jumamosi ya juzi kutoka kampuni moja hapa bongo.

Fanya hivi:
Weka pesa kubwa ya maana kwenye mechi tatu za uhakika.
Mechi zisizidi tatu.
Acha tamaa.. Watu wengi wana beti kimaskini.. Mtu anaweka jero, au buku... Anabeti mechi 16 ili apate 8,500,000/=.
Are you crazy????

Wewe umekua mungu kujua outcome ya mechi 16 zote???
Utaendelea kuliwa vi buku buku vyako milele amina.

Mie huwa naweka minimum 10,000 kwenye mkeka wa mechi za uhakika 3 tu.

Mfano juzi kwenye hitimisho la EPL. Niliweka 30,000 nikabeti over 2.5 mechi tatu tuu za Chelsea, Tottenham na Liverpool.
Nimevuta mkwanja wangu wa uhakika.

Hii perfect 12 niliyoshinda juzi huwa siipi sana kipaumbele..
Maana probability ya kushinda ndogo mno. Anyway, kwa kuwa ni buku tuu natakiwa niweke, basi huwa hainiumi kivile.
Juzi kama zali bana, mwanaume nimelamba M zangu 109+ na ushee..

Leo ndio naenda kuchukua huo mpunga wangu benki.
Hizo milioni 9+ ndio mtaji wa kubetia. Game tatu, natia mzigo wa laki 5.

Acheni kubeti kimaskini. Weka hela kubwa mechi tatu tu.
Ukiweka 10,000 unapata 70,000 una hasara gani hapo.
Mkuu nipo na Wema hapa anaomba namba yako, nimpatie?
 
Hahaaa haaaa Bet Lost[emoji23] [emoji23]
Bet lost daaah midadi inakupanda pale unapoingia online kutizama mikeka yako uliyosuka .

Mchezo mbay sana nashukuru niliacha mapema la sivyo saivi ningekuwa ICU ya kiuchumi
 
Khaa! Mkuu, hongera sana... Wewe usibeti tena maishani... Hadi hapo ushapata utajiri wa kutosha. Mie bado wananila nila kwa kuwa najifunza kutengeneza mkeka. Ila naamini ipo siku nitatuzua...
 
Bet lost daaah midadi inakupanda pale unapoingia online kutizama mikeka yako uliyosuka .

Mchezo mbay sana nashukuru niliacha mapema la sivyo saivi ningekuwa ICU ya kiuchumi
Hahaaa kuna wale wanaochana dk ya 90 na sekunde 52
 
Ila mkuu, ukishaweka mkeka wako ni bora usubirie tu matokeo! Maana ukifuatilia mechi, lazima utakufa kwa presha...
Kama umeweka stake itamayokupa faida ndogo utaweza kusubiri mbaya zaidi umeweka stake 150000 itakayokupa faida kam 1250000...mkuu live score ifamuhusu kila baada ya dk 5 [emoji23]
 
Betting sometimes its pay sometimes its bring more stress.
Kuna siku sikuwa na kitu kabisa isipokua 15000 tu na nina madeni kibao na posibility ya kupata hela ni baada ya wiki 2. Nikaamua liwalo na liwe nikaingia online nikabeti mara mbili 5000 na 10000 bet slip tofauti wa 5000 nikapigwa na wa 10000 ukanitatulia matatizo nikapata 680k baada ya hapo within 2 weeks league ziishe nishabamizwa 260k wakati mwingine niliweka 10000 nikiwa na shida ya 1.5 points kwa timu moja lakini nayo iligoma yaani tabu tupu.
 
The more risk you take, the more money you make
 
Back
Top Bottom