Una beti upate hela ama kufurahisha nafsi.. Kama unataka upate hela niige mimi mshindi wa Perfect 12

KUNA JAMAA NILIOKOTA KAMKEKA KAKE HETI KATIA 4000 HALAFU KABETI KUPITIA PREMIER BET KWENYE FULL TIME/ HALF TIME RESULT AU MAARUFU KWA JINA LA NGUMU KUMEZA
KAWEKA
CHELSEA 1 1.07
HULL CITY 2 1.06
WATFORD 2 1.21
P.return ikawa 5200
Kwa bahati mbaya chelsea akatoa draw kipindi cha kwanza jamaa akaliwa.
 
Mimi hata siwaelewi wala nini?? Hivi Kama hufuatilii mpira unaweza ukabet na ukashinda kweli?
Unatakiw uzijue timu kwanza
Mfano Arsenal vs Chelsea af una mpa arsenal win[emoji2]
Hapo lazima mkeka uchanike[emoji12]
 
Yaaaani umeongea ukweli kabisa, mpaka hata mimi umenigusa maana huu mchezo nauchezaga sana, kusema ukweli huu mchezo ni bahati tu waweza weka hata timu moja na bado ukaliwa tu
 
Wakuu...
Mnachonga sana nimeona.
Saa tano nikiwa nimetulia nita upload mkeka wa perfect 12, mkeka wa U20 korea jana, na mkeka wa Brazil primera jana usiku.
Pia nita weka na mkeka niliopoteza 55,000 baada ya New Zealand ku draw mechi ya U20 juzi korea.
Kuna watu wananifata pm kutaka kujua identity yangu. Tafadhali siko tayari kujibu pm yoyote aisee.
 
Wapi nimeonesha dharau bro...
Ama unanionea wivu tu na bingo langu.
Hili ni zali tu mzee. Nimeliwa sana buku buku zangu usione hivi.
Kaa na wivu yako tuone utaishia wapi sasa.
Sasa nikuonee wivu kisa hivyo visenti vya kufanyia shopping.!?!?
Sincerely ningekuonea wivu kama ungekua unaishi milele, ila hizo hela za madafu NOPE!
Ooh umeuliza wapi umeonyesha dharau
unadai watu wanabeti kimaskini blah blah blah rejea uzi wako
 
Sasa wakil wa kubet tupe mshindi wa mechi ya leo ni moja tu ili tule mzigo.
 
[5/26, 13:03] ‪+91 91686 90361‬: Aus vs SL
[5/26, 13:03] ‪+91 91686 90361‬: Inplay
[5/26, 13:03] ‪+91 91686 90361‬: CriCket collin
[5/26, 13:03] ‪+263 77 930 0038‬: Aus vs SL

TIP
[5/26, 13:04] ‪+91 91686 90361‬: Aus to win
[5/26, 13:04] ‪+91 91686 90361‬: When. Odd reach to 1.40
 
SIri YA USHINDI KIMBIA INBOX

ANAEKWAMBI NJOO NBOX MWAMBIE AJE OUTBOX
 
kusema kweli inakuwa ngumu coz hujui chochote utabet vip huj
Mimi hata siwaelewi wala nini?? Hivi Kama hufuatilii mpira unaweza ukabet na ukashinda kweli?
hujui Manchester akicheta za timu yoyote umpe nani utashindaje?
 
Yani uchukue hela benki bila kuonyeshwa kwe tv? Hii ngumu kumeza.
 
⚽ £20-£100 Bet 1 ⚽

▪ Guangzhou Evergrande v Chongqing
▪ Guangzhou Evergrande o1.5 Team Goals
▪ £20.00
▪ £30.00
 
WEKENI MIKEKA ACHENII POROJOO ZA ABUNUASI
 
kule aliambiwa atupie mkeka wake kimyaaa,anataka aonekane ili shori wamcheki pm awaamshie dude pasipo kuwapa kitu(maana hana kwakua yy siye aliyekula
 
[5/26, 13:29] ‪+91 96171 24784‬: Play 1st half goal in this
[5/26, 13:29] ‪+91 96171 24784‬: Odd 2.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…