Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kwa wale tuliosoma majohe praimari,
High libido ina maanisha hali yakuwa una uhitaji usio wa kawaida wa kufanya sex mara kwa mara.
Kwa upande mwingine ukiwa na mwenza wa namna hii, unaweza chukulia simple lakini tena baadae ikawa mzigo kwako.
⚛️Muda
⚛️Nguvu
⚛️Jitihada ya kumridhisha
⚛️Red flag ya yeye kucheat
maana anaweza akakukatana na mtu hata safarini wakaanza mambo
Na mengine mengi.
So, how do u maintain n manage all that?