Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Hapo wote hamfahamu.Ila wewe mwanaume ndio Huwa unaanza kuumwa,, mwanamke Huwa hajui mpaka wewe mwanaume ukianza kuumwa ndio unamshtua na Yeye aende akatibiwe...Ila Huu ugonjwa mwanamke hukaa nao Mda mrefu pasipo kujua na huwa unamdhuru to the maximum.Duh hapo inakuwa bado haja fahamu kama ana tatizo la gono?
Au hizo ni effevcts za gono zinazo acha ndani ya uke hata kama ametibika??