Una-deal vipi na mwenza mwenye high libido?

Una-deal vipi na mwenza mwenye high libido?

Kwa wale tuliosoma majohe praimari

High libido ina maanisha hali yakuwa una uhitaji usio wa kawaida wa kufanya sex mara kwa mara.

Kwa upande mwingine ukiwa na mwenza wa namna hii, unaweza chukulia simple lakini tena baadae ikawa mzigo kwako

⚛️Muda
⚛️Nguvu
⚛️Jitihada ya kumridhisha
⚛️Red flag ya yeye kucheat
maana anaweza akakukatana na mtu hata safarini wakaanza mambo

Na mengine mengi.

So how do u maintain n manage all that...

Huwa tunawaacha
 
Kama ni KE achana naye atakusumbua sana na atakuletea aibu kitaa maana atazibuliwa hadi na wazoa TAKA ukiachilia mbali BODABODA.
 
Wanawake wa hivyo me ndio Nina wapenda sasa Maana huwa hawajivungi kuomba kuliwa Mimi napenda wanawake wasio jivunga wale machzi kuliwa

Ila Hao wao wanafaa zaidi katika mahusiano haya yakawaida awe ni sex partner Tu na sio eti umuoe umeweke ndani wee utagongewa mpaka na kuku maana unaweza ukapata safari halafu akatoka na ndugu yako
 
I think counting does not matter ila pale ambapo mfano umetoka kumpiga bao 3 mchana ya saa nane ikifika saa kumi anaanza kukuvuta unapiga , palw mkiwa mnakula saa mbili anaweka mikono ndanj ya boxer yako na anakuambia anataka sebeurni unapiga, mkineda kulala saa nne anakushtja, saa nane anakushtua aubuhj kabla ya kazi anakushtua ,akiwa kazinj anaomba ruhusa aje

Hivi unadhani utaweza kutembea mkuu🤣🤣🤣
Nyie wenzangu mnagongaje kwani !? 😁😁😁😁
Maana Mimi bhana sijui Nina matatizo nikisex na mwanamke akiamka asubuhi asipo umwa basi lazima awe amechoka Sana ana lala hoi mpaka basi , Namimi mwenyewe naweza kuwa Hoi siku nzima cause huwa Nina Tatizo la kuchelewa kupiz naweza kulitafuta bao mpaka lisaa 1 na nusu na lisitoke kuna wakati huwa mpaka nikaoge then nikisex tena ndio Nina piz , na situmii buster
 
Back
Top Bottom