The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Eehh ndio iko hivyo 🤣🤣🤣Hapo wote hamfahamu.Ila wewe mwanaume ndio Huwa unaanza kuumwa,, mwanamke Huwa hajui mpaka wewe mwanaume ukianza kuumwa ndio unamshtua na Yeye aende akatibiwe...Ila Huu ugonjwa mwanamke hukaa nao Mda mrefu pasipo kujua na huwa unamdhuru to the maximum.
Ndio maana huwa wanaweza kuwaambukiza wanaume wengi Sana endapo kama mwanamke atakuwa ni male Maana huwa hawajijui kama Wana ugonjwa