Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
- Thread starter
- #121
Too much sex inakinai mtuKwenye circle yangu nilikutana nae mmoja tu and she was so sweet yaan ile sweet sex
Kumbe mi mwenyewe niko hivyo sasa tukawa kama kumbi kumbi
Yaani ilileta shida kwa watu wengine maana tuligandana mno..
Kuna uchizi na wivu mkubwa kwa watu wa aina hiyo wakikutana..
Nilikaa nae miezi minne tu lakini tulisex like tumekaa miaka kumi..
Namtafuta mwingine wa vile simpati tena..
Japo yule bado yupo hai lakini sitaki kumrudia kabisa..
Najua unajiuliza why sitaki kumrudia na kwanini tuliachana...