Lau kama isingekuwa, ugunduzi wa zana za kutumia kwenye kilambio, hakika siku hii ingebaki tu kuwa historia kama vile tumkumbukavyo Mfalme SOBHUZA, baba yake Mfalme Mswati wa kule Swaziland.
Naamini mwanaye aliyerithi mikoba baada ya Mzee SOBHUZA kurejea kwa mola wake, anamshukuru sana huyo mzee kutokana na kusimika mila mujaarabu inayomuwezesha kupata tulizo la moyo wake kila mwaka. Ni raha iliyoje kila mwaka kujitwalia kimwana HIRIO wa kujivinjari naye…
Sisemi kwamba, una NASABA na Mfalme Mswati, usije ukaninukuu vibaya, lakini watu husema duniani wawili wawili……!
Kuna wakati najiuliza hivi kama Mwandani wako
Lady doctor angekuwa anakufahamu kama anavyokujua
Mzee wa Rula, au
PakaJimmy, hivi angekubali posa yako kweli..? Maana nikikumbuka zile mbilinge zako za Metropol au kule Matonge Carnival enzi zile ukikimbizana na NDEZI sijui angekubali kuishi na muwindaji asiyekosea shabaha.
Kwa kweli una kila cha kujivunia, maana baada ya kumrudia Bwana, ingawa mara moja moja huwa ibilisi anakupitia, na kubinjuka, lakini ukikumbuka kutubu dhambi zako na kumrudia Bwana, inatosha kukupa sifa kwamba wewe unastahili kuvikwa taji la shahada ya UKAGUZI……!
Leo hii tunaposherehekea sikukuu yako ya kuzaliwa, naomba kuwakaribisha wana jamvi wa Arusha tukutane kile kiwanja chetu cha kawaida kwa ajili ya kumpongeza Kijana wetu
Arushaone kwa kufikisha miaka…..
Haya Arusha Wing:
Preta,
marejesho,
Nyamayao,
LiverpoolFC,
PakaJimmy,
Mzee wa Rula,
sweetlady,
Filipo,
Tanga Wing: Babu DC
dack City,
Arabela,
KOKUTONA,
Mwanyasi,
MadameX
Mwanza Wing:
charminglady, @C6,
Eiyer,
Elizabeth Dominic
Dar Wing: Asprin,
MwanajamiiOne,
gfsonwin,
Bujibuji,
cacico,
amu,
Paloma,
lara 1,
Kipaji Halisi,
Mentor,
KakaKiiza,
jouneGwalu,
HorsePower,
Mamndenyi,
BADILI TABIA,
Lisa,
Nivea
Karibuni sana….
Duh, mkuu umekula chumvi….!