Una haki ya kumshukuru mgunduzi wa zana……HAPPY BIRTHDAY Arushaone…..!!!!!!

Una haki ya kumshukuru mgunduzi wa zana……HAPPY BIRTHDAY Arushaone…..!!!!!!

Sifa na hongera nimpe shemeji yangu anaekutunza, na kuutendea haki "mkono wa elefanti" wako!
NOTA BENE : Mletamada Mwanza wing haina member wa3 !

Thanks broda. Mtambuzi njoo huku fasta kuna typing error rekbsha.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday@Arushaone,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na Mafanikio tele!!Happy birthday!!!
 
Hepi besdei my dear.
Mishumaa mingap nikadirie size ya keki? Manake mshua Mtambuzi huwa tunamtengenezea keki kama meza!

Nashukuru mjeda wangu, nimegonga miaka 18 leo. Nishakuwa mkubwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom