Hahahaa uhuru hostel kila mtu anaingiua na cheti.cha ndoa mkononi! Na hakuna biya
Mi nitakuwa kiwanja kipya Inshaalah pale milestone.
Nashangaa hata memba washiriki hakawaweka
Sema hao ndio walimpatia kimwana akamficha hotelini alipoenda huko

Pamoja sana mpwa, ngoja niwaite mateja wenzangu kina Fixed Point, snowhite (taja wengine) na BAK atuburudishe kwa muziki mororo.
utawajua tu wapenda viroba
heri ya kuzaliwa, ila weka jitahada kwenye masomo.
Cc Lady doctor,kumbe uliolewa na under age?
happy birthday shemeji mwaaaaaaaaaaaaaaah
Jiwe Linaloishi ni member wa Arusha Wing, kaja lini huko? Mwambie arudi fasta kabla hasira zangu hazijapanda.Nini tena..?
Niko na Jiwe Linaloishi tunakunywa GAHWA hapa Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel......
Hivyo vichwa ulivyovitaja... Mh!!!!!!!!
Sifa na hongera nimpe shemeji yangu anaekutunza, na kuutendea haki "mkono wa elefanti" wako!
NOTA BENE : Mletamada Mwanza wing haina member wa3 !
Happy Birthday ArushaOne, Mwenyezi Mungu akujalie kila la kheri, akuepushe na mabaya, akuongoze katika mema, abariki kizazi chako, na akifanye kiwe mfano kwa jamii, akupe mke mwema atakaye kuheshimu na kukufanya uwe na furaha na faraja moyoni mwako wakati wote, akuongezee kipato ila kipato hicho kisikutawale bali ukitawale, usisahau kutoa sadaka katika nyumba ya Mungu kama shukurani kwa kufikia hapo ulipo leo.